Minja Ngalason
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 883
- 1,079
Wakuu nawasalim,
Mimi na rafiki yangu fulani ambaye tumeivana nae kweli kwa mda, cha kushangaza rafiki yangu huyu alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na dada fulani hivi ambaye walitokea kupendana kweli na isitoshe mpaka nyumbani kwao walikuwa wakimfahamu kama wife to be.
Na isitoshe kuhusu swala la kujali huyu jamaa ni hatari ni hata juzi tu amemlipia huyu dada tickect ya kwenda bonden S.A kwa ndugu zake na kula bata hadi mimi shahidi tulimpeleka uwanja wa ndege na jamaa.
Baada ya kurudi ikatokea huyu dada kasikia uvumi kwa dada yake jamaa ana mtoto wa nje so anataka amwache jamaa kwa shinikizo la dada alafu isitoshe jamaa kamsaidia kwa mengi sana kama vile kumnunulia gari, kamjengea nyumba sasa nimeamua kuleta hili swala kwa wanajamvi ili kunisaidia kwa huyu jamaa yangu ambaye ni kama ndugu kwangu.
Actually najaribu sana kumsihi huyu dada asisikilize maneno ya watu na kamwe hakuna binadamu mkamilifu lakini inavyoonekana anaogopa kutengwa na ndugu zake lakini anampenda jamaa.
Nisaidieni waungwana
Sent using Jamii Forums mobile app