Hanitafuti, simtafuti lakini huduma zote ananipatia

Habarini za jpili wakuu? bango linajieleza hapo juu.

Nina mchepuko wangu fulani hivi mchanganyiko wa kisukuma na kinyamwezi ambapo hadi kufikia sasa tuna muda kidogo katika mahusiano yetu.Off coz niseme tu nampenda lakini sijawekeza kitu chochote cha dhamani kwake na sitokaa nifanye hivyo kamwe.

Issue iko hivi simtafuti kwenye simu na yeye pia hanitafuti, cha ajabu nikiamua kumtafuta muda wowote nampata hata saa nane za usiku nikipiga tu simu anapokea,nikitaka kuchakata ile kitu muda wowote ninaotaka mimi huwa hana pingamizi,nikitaka kulala kwake muda wowote ule kwa masaa yyt yale huwa hana kizuizi chochote kile.Ananipikia pale ninapohitaji lakini vilevile ananifulia pale ninapohitaji.

Ameshanifumania mara kibao na mademu wengine.Yaani kwa kifupi mimi ni wale wanaume ambao ni wasumbufu sana kuna muda huwa naamua kumuacha ila nikiamua kumrudia tena huwa hana pingamizi lolote kwangu,au ndio ule usemi kwamba wanawake huwa wanapenda wanaume majeuli.

Swali je ni mwamimifu katika mahusiano?

Je hachepuki sehemu nyingine?

Je ananipenda sana?

Naombeni ushauri wenu wakuu.
Unajua status yake? Waathirika wengi huwa na tabia kama yake.
 
Habarini za jpili wakuu?Moja kwa moja bango linajieleza hapo juu.

Nina mchepuko wangu fulani hivi ambapo hadi kufikia sasa tuna muda kidogo katika mahusiano yetu.Off coz niseme tu nampenda lakini sijawekeza kitu chochote cha dhamani kwake.

Issue iko hivi simtafuti kwenye simu na yeye pia hanitafuti,cha ajabu nikiamua kumtafuta muda wowote nampata hata saa nane za usiku nikipiga tu simu anapokea,nikitaka kuchakata ile kitu muda wowote ninaotaka mimi huwa hana pingamizi,nikitaka kulala kwake muda wowote ule kwa masaa yyt yale huwa hana kizuizi chochote kile.Ananipikia pale ninapohitaji lakini vilevile ananifulia pale ninapohitaji.

Ameshanifumania mara kibao na mademu wengine.

Swali je ni mwamimifu katika mahusiano?

Je hachepuki sehemu nyingine?

Je ananipenda sana?

Naombeni ushauri wenu wakuu.
She got nothing to lose,
Hana Cha kupoteza, nenda kacheki ngoma.
 
Wale wadada pale Temeke Sudani, Hospital au Buguruni ni lazima uwatafute wao na huduma unapewa tena ya kiwango cha uhitaji wako hadi dual..
 
Habarini za jpili wakuu?Moja kwa moja bango linajieleza hapo juu.

Nina mchepuko wangu fulani hivi ambapo hadi kufikia sasa tuna muda kidogo katika mahusiano yetu.Off coz niseme tu nampenda lakini sijawekeza kitu chochote cha dhamani kwake.

Issue iko hivi simtafuti kwenye simu na yeye pia hanitafuti,cha ajabu nikiamua kumtafuta muda wowote nampata hata saa nane za usiku nikipiga tu simu anapokea,nikitaka kuchakata ile kitu muda wowote ninaotaka mimi huwa hana pingamizi,nikitaka kulala kwake muda wowote ule kwa masaa yyt yale huwa hana kizuizi chochote kile.Ananipikia pale ninapohitaji lakini vilevile ananifulia pale ninapohitaji.

Ameshanifumania mara kibao na mademu wengine.

Swali je ni mwamimifu katika mahusiano?

Je hachepuki sehemu nyingine?

Je ananipenda sana?

Naombeni ushauri wenu wakuu.
Je, wewe mwaminifu katika mahusiano yenu na kama si mwaminifu kwanini yeye awe mwaminifu kwako tu? Grow up na kajipige vidole kulee.
 
Wewe usipomtafuta kuna wengine anahudumiwa na ukirudi anakupetipeti kwa muda maana anajua hujatulia UTAONDOKA TUU
Usijiulize sana kwanini anafanya yote maana kuna vitu anafaidi kutoka kwako
 
Ameshanifumania mara kibao na mademu wengine.
Unless you act fast, your goose is cooked. Women neither forget nor forgive.

There will be a payback time even if it'll take her 20 years.

The only intense pain they feel and forget shortly after is giving birth.
Swali je ni mwamimifu katika mahusiano?
A man or woman, is only as faithful as his or her options.
Je hachepuki sehemu nyingine?
I envy your naivety. It's your turn, she's not yours.
Je ananipenda sana?
Hapana. Ila ww ni best option available amongst others. Learn to see through woman's mind.
 
Back
Top Bottom