mwarabu wa dubai
JF-Expert Member
- Nov 29, 2015
- 317
- 304
Habarini za Jumapili wakuu? Moja kwa moja bango linajieleza hapo juu.
Nina mchepuko wangu fulani hivi ambapo hadi kufikia sasa tuna muda kidogo katika mahusiano yetu. Off coz niseme tu nampenda lakini sijawekeza kitu chochote cha thamani kwake.
Issue iko hivi simtafuti kwenye simu na yeye pia hanitafuti, cha ajabu nikiamua kumtafuta muda wowote nampata hata saa nane za usiku nikipiga tu simu anapokea, nikitaka kuchakata ile kitu muda wowote ninaotaka mimi huwa hana pingamizi, nikitaka kulala kwake muda wowote ule kwa masaa yoyote yale huwa hana kizuizi chochote kile. Ananipikia pale ninapohitaji lakini vilevile ananifulia pale ninapohitaji.
Ameshanifumania mara kibao na mademu wengine.
Swali je ni mwamimifu katika mahusiano?
Je hachepuki sehemu nyingine?
Je ananipenda sana?
Naombeni ushauri wenu wakuu.