Haniridhishi jamani

Inaelekea wewe ulikwishaanza kamchezo hako mapema tofauti na mwenzako ambaye anaonesha kabisa kuwa sio mzoefu wa mambo ya chakula cha usiku.
Tumia sasa uzoefu wako maana kama hakuridhishi ndio wakati sasa wa wewe kutoa somo kwa mwenza wako,wengi hukimbilia pembeni na kuacha kutengeneza walivyonavyo,mpe somo sasa ili uridhishwe.
 
Mpe mda inaonekana bdo mgen na iyo kaz ivyo manii zilikuwa karibu xana coz mda mrefu hajawah pata katunda ndo mana ikawa iyo hal mpe mda uone
 
Mwee dada yangu rudi nyumbani tu chumba chako kipo.. Hiyo ndoa hiyo mmmhh nimeanza kuwa na wasiwasi.... Hata kama uwe na hamu vp kumaliza sio fasta kiasi hicho na mara nyingi round ya pili ndo tunawalizaga kabisa as tuna compasate cha kwanza cha fasta....

Mmmh mhh mhh usije ukaamia kwa house boy
 

Ukiona performance unaitafuta kwa juhudi zote hizi, aisee bado hujalitatua tatizo. Kwa mchanganyiko huu kwa ajili tu ya kutafuta boost, umekata tu matawi yenye ugonjwa lakini mizizi ipo vilevile. Je kila ukitaka kuperform utakunywa? na siku usipokunywa psychology yako itakuwa imeathiriwa na hutoweza kitu.
 

Mtie yeye.
 
Dah masuala mengine
Wewe kama mtu ni mchumba na mnategemea kufunga ndoa nae ulishawahi kukaa nae mkaliongea tatizo lenu mkatafuta namna ya kulimaliza
Je wewe unamsauidiaje kabla ya kuja kumuanika humu JF kuwa anashusha mzigo faster
Ulishatafuta namna ya kumsaidia may be ushauri na masuala mengine kabla ya kuja kuanika humu JF
bado hamjafunga hata ndoa ndo mnaanza kuumbuana hivi siku akiwa na matatizo mengine si mtaa mzima watajua
Hebu kaa na mchumba wako mshauriane na msaidiane namna ya kutatua matatizo yenu ya kitandani kabla hujaja huku King'asti, Kaunga, Kongosho; sweetlady; Blaki Womani; gfsonwin, snowhite hebu mshaurini huyu bi dada na Smile usiishie tuu kuguna
 
Last edited by a moderator:
Hakikisha unamtest mfululizo siste.. Yaan wiki nzima amia kwake.. Na kama vipi mshauri cha kwanza akitoe kwa punyeto muanzie game round ya pili.. Maana wazoefu tukikutana na demu anaejifanya anayaweza ( mwenye mbwebwe kama lala 1) round ya kwanza tunaitolea bafuni,,, ndo tunarudi kuanza mechi kwa round ya pili bila yeye kujua... Hapo ataongea hadi kikwao na badala ya kuchop your money anakupa na zake umshikie eti mfanye maisha pamoja...
 
kwenye miti hapakosi wajenzi hii ndio MMU bana hapa hata 2*0=2 kwikwiwkwiwkwiwkwi
 

Umenilelewa vibaya, mimi sipo na mtoa mada kabisa mi nilikuwa nazungumza kiutu uzima na mzee wa SMINORF Kutaka kujua khabari zaidi juu ya kitu iliyoshika kasi. WALA SIPO KWENYE MADA KUU!
 
Mpe kazi aipige kwa masaaa 24/7 uone kama hamu zake za kuku zitaisha kabla ya kuingia huko kunako ndoa yenu.
ukiona anapiga nyingi kwa mtindo huo huo ujue huyo anajifunzia kwako na akishajua huyo si wako maaana atakuwa anataka kila mwanamke, na hadi aje atulie utakuwa umeumia saaana.
 
ulipaswa ushukuru ushamba wake hiyo ndio dalili kuwa ni bikra(hajafanya hayo mambo),na ww unaposema jitunze msirudie huo mchezo mpaka muoane HANA SHIDA YOYOTE ILA USHAMBA TU na ndio mwanaume mzuri.mkioana usiache kumwambia kuwa hauridhiki na hali hiyo ivo ajitahidi kuchelewa,atazoea.
 
Hakuna kitu kibaya kwa mwanaume kama kufanya mapezi kwa woga. hofu au wasiwasi......Kama ni mtu wa dini sana bado mambo hayo hajazoea....na ulitakiwa kulijua hilo mapema kama tu kushikana anajikojolea.....mpe muda...awe huru kushindwa siku moja sio kipimo tosha kusema hawezi ni kwamba ana maganzi sana yatamwisha one day!!
 

Mwambie aache viroba ni hatari!
 
dada Anna nikweli haukupaswa kuyaleta haya kama JF kama huo uhusiano kweli ni kweli, ila mimi nahisi kama unamsemea mtu sio wewe!
Vyovyote vile ukweli ni kwamba jamaa bado ni mgeni wa kufanya mapenzi, mfumo wake wa neva bado haujaizoea hiyo hali. Napenda pia huwashauri watu wasipende kutumia vinywaji vya kubusti ili wapate nguvu ya kujamiiana huko ni kujiuwa! hilo zoezi linaweza kuchukua chini ya miaka mitano halafu inakua kushne, tumieni vyakula asilia
 
We una maoni gan?kwa upande wangu naona usim judge mtu kwa game moja tu,may be cku hiyo alichoka sana
 

Mi nadhani huyo jamaa atakuwa na tatizo kidogo kisaikolojia au ni ugeni pia unachangia,jaribu kumsaidia apate ushauri tu wa kisaikolojia na with time atakuwa kawaida na atakuwa anakuridhisha vizuri tu. Vunja ukimya na uongee naye wala usimwonee aibu vinginevyo............
 

Vitu vingine toxic muwe makini wadogo zangu!!!
 
There are currently 83 users browsing this thread

Yaani hizi tpok huvuta hisia jamani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…