Haniridhishi jamani



Huyo ni kijana wa bongo fleva, atakutia tu hasara huko mbeleni, shauri yako.
 
Kama ni mara ya kwanza inawezekana akawa ana hofu ongea naye taratibuuuu atakuwa sawa ni kutojiamini tu
 
Kutidhika katika mapenzi ni suala la kihisia zaidi kuliko physically. Wengi tunakuwa na mahusiano na watu ambao hatuna mapenzi ya dhati kwao hususani wanawake ndio wana hii tabia. Sasa unapokuwa kwenye mahusiano na mtu ambaye hatupo 100% ndani ya moyo wako husitegemee kuna siku mtafanya mapenzi ukaridhika labda uwe umelewa.

So huu ujinga wa kulialia mpenzi wako hakuridhidhi, inabidi ujiulize ni kweli unampenda ?
ni kweli hisia zako zipo kwa huyo mtu au umefuata economic security ?
 
mpigishe punyeto mara 3 kwa kutwa ndani ya mwez tu atakua fundi mzur....unaoneka una ya moto hatari
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…