Mtoto mkubwa
Member
- Dec 29, 2014
- 68
- 23
Naomba kuuliza, Ntapata wapi hansome up, kwa hapa dar. anaejua anijuze na je beiyake shilingi ngapi, Ahsante..
hiiNdo nn hyo
duh, ndo mavitu gani aya ?
ya kukuza dudu i thinkduh, ndo mavitu gani aya ?
doh, uyu jamaa kaamka breki ya kwanza anataka arefushe uume ? aisee, sisi tuko kiwandani uku tunachapa kaziya kukuza dudu i think
nimeonaga matangazo yake kwenye gazeti za udaku sanaaa
😂😂😂hata hicho ni kiwanda kwa kiasi chake coz kinazalishadoh, uyu jamaa kaamka breki ya kwanza anataka arefushe uume ? aisee, sisi tuko kiwandani uku tunachapa kazi
😂😂😂😂😂😂 , 'nimeajiriwa' kiwandani, sina kiwanda mimi, drone=nyuki dume, drake=bata dume, maana yake nna 'dushe 2', ila siuzi zile 'drone' za kupaa😂😂😂hata hicho ni kiwanda kwa kiasi chake coz kinazalisha
za asubuhi bwana drone drake , naeza pata drone za kufanya saviliensi kwa mnaodai mna viwanda ili niwe na uhakika wa kodi
😂😂😂 dushe ngapiii 😂😂😂😂 jamaa anaetaka hadsome up si umpunguzie kiainaaa😂😂😂😂😂😂 , 'nimeajiriwa' kiwandani, sina kiwanda mimi, drone=nyuki dume, drake=bata dume, maana yake nna 'dushe 2', ila siuzi zile 'drone' za kupaa
mwanaume wa dar uyo, mwache apambane na hali yake, anataka 'kumkomoa' mwanamke' mwache😂😂😂 dushe ngapiii 😂😂😂😂 jamaa anaetaka hadsome up si umpunguzie kiainaaa
hiyo dudu ndio ajira yake(mario)ndio maana anahaha.doh, uyu jamaa kaamka breki ya kwanza anataka arefushe uume ? aisee, sisi tuko kiwandani uku tunachapa kazi
m'babaishaji huyo. wikipedia hii hapaSoma hapa kwanza mkuu hasa comment ya mwisho handsome up inasaidia au watanzania wanaibiwa? - JamiiForums




Acha na hiyo itakuumiza kuna dawa za asili ambazo hazina madharaya kukuza dudu i think
nimeonaga matangazo yake kwenye gazeti za udaku sanaaa