Handsome, Smiling, superstar kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Handsome, Smiling, superstar kikwete

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Jan 14, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,287
  Likes Received: 22,047
  Trophy Points: 280
  Hadi leo amekaa kimya kuhusu malipo ya Dowans.
  Sijui sisi wazalendo tumweleweje?
   
 2. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Ukishupaa na siasa za bongo utakufa siku si zako
   
 3. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  aISEEE HII NI KWELI KABISAAA KWA HIYO TUACHE NCHI ILIWEEE EEETI MKUUU!
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,287
  Likes Received: 22,047
  Trophy Points: 280
  Lijitu lina mibendera ya CCM unadhani litakueleza nini?
   
 5. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #5
  Jan 14, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Watanzania tulio wengi ni kama Misukule, tunatumikishwa na Mafisadi ila hatuna cha kufanya-eti amani. Acha tutumikiswe mpaka hatua ya mwisho kabisa ndio tutapata akili kwamba tulichukuliwa akili. Hata Somalia ikitulia itatupita kiuchumi. Rwanda ilikua vitani tukaisadia kupata amani leo intushinda ki uchumi. Kweli Watanzania tumewezwa ki-ufaham.
   
 6. j

  junior2008 JF-Expert Member

  #6
  Jan 14, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 528
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Eti tunataka amani na utulivu wakati nchi inaliwa na wachache, hakuna haki, wananchi wasio na hatia wanauwawa kikatili wakidai ni bahati mbaya na hayo wanaongea kwa wahisani sio walio wachagua, wengine wanasema tiini mamlaka iliyo toka kwa mungu wakati walichakachua kura, lakini watanzania tunataka amani na utulivu hali tukiendelea kuwa masikini wa kutupwa. Vitabu vitakatifu vya mungu vinatumika kuhalalisha maovu, wananchi tunataka amani na utulivu. Ni wakati sasa wananchi tufikirie zaidi ya hapo, zaidi ya amani na utulivu ili mafisadi wa CCM wasiendelee kutumia slogan hii kuendelea kututawala (sio kutuongoza) kwa mabavu na kutunyonya!!
   
Loading...