Handsome anatafurwa dar

Najiuliza tu, sijui walijuaje kuwa ni mahendisamu hata wakajipeleka kushiriki...

Wazo la haraka linalonijia ni kuwa walisifiwa na mademu zao kuwa wao ni mahendisamu...
 
Najiuliza tu, sijui walijuaje kuwa ni mahendisamu hata wakajipeleka kushiriki...

Wazo la haraka linalonijia ni kuwa walisifiwa na mademu zao kuwa wao ni mahendisamu...

Walijiangalia kwenye kioo..
 
mashindano ya handsome ama wanatangaza 'boxers' na 'matiti' jaman.
 
kweri duniani hakuishi wapuuzi. SMILE nimekupunguzia heshima 50%. washaulini wakafanye kz hao mabwabwa coz naona wengine wamejibinua km si ridhiki vile.
 
kwani handsome mpaka uwe na umejaza kifua na ukivaa suruali au kaptula uonyeshe boxer? me kama sijaelewa vigezo vinavyotumika bado!!
 
ila i dont find them handsome bali wana stable body size but beauty is in the eye of tge beer holder n ive not hold one
 
Kumbe wewe Smile ni muumini mambo za shigongo!Wanaume siku hizi ni NYANYA kabisa wapelekwe kwa D.Cameroon huko!Arrrghhh
 
Last edited by a moderator:
nipo best! Wavae kwanini? Wanakutega hapo mitaa ya kati ama?
Wazuri kweli kweli lakini

Nikiwa kama judge wa ghafla..........wa 4 na wa 6........kwa vigezo vyangu ni out.......tumbo gani hizo........
 
nikiwa kama judge wa ghafla..........wa 4 na wa 6........kwa vigezo vyangu ni out.......tumbo gani hizo........
ila vijana wapo mahali pake
 
umeona eeeeh........hata akikupigia push up......mwenyewe unasuuzika......na bill unalipa........
utakuwa mjinga kumpiga mtu kama huyu mzinga! Uumbaji tu ni mzinga tosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…