naona wameamua kutuonyesha boxer zao.......
Kwann wanaume wengi kizazi hiki huonyesha nguo zao za ndani je ni kuvutia au ni ulimbukeni kusiko sawa
Wazuri lakini
ungemtafuta mmoja wao umuulize mie sijui......
Mwanaume Rijali hawezi kushiriki upuuzi huu
Mkuu Sikukuu njema, Hayo ni mambo ya vijana yanapita tu, watachoka na baadae kuacha!! Walikuwepo wengi zamani nao walitumia wakati wao, Hayo ni mapito tuu! Time will tell (( kila wakati na vijana walivyo )) ... Heshima kwa vizazi TZ2013.Kwann wanaume wengi kizazi hiki huonyesha nguo zao za ndani je ni kuvutia au ni ulimbukeni kusiko sawa
Dunia ina mambo sana!
ningekuwepo ningewafunika wote hao,maana hao ni wa kawaida sana ila mambo za kuonyesha boxer ni upuuzi siwez ufanya