Handling finances in marriage.... advice

........... Shauri lako utakula mvua 30, mheshimiwa hakimu hana mchezo juu ya hilo!

Mi nilikuwa namaanisha kilimo, hasa cha mahindi, wamejaliwa ardhi yenye rutuba kweli, na sasa kauli mbiu ya kilimo kwanza watapata misaada kibao tu, sasa hiyo mvua 30 imetoka wapi....LOL🙄🙂😉
 
Hahahha dada umemkamata kwenye kona tamu..... ila uwe makini usijeukamkosea maana atalipa yote hahah tena kwa uchungu
 
Yeah hapo Nyamayao umeniokoa maana MJ1 aliniona mimi kama mzushi.
 
Hahahha dada umemkamata kwenye kona tamu..... ila uwe makini usijeukamkosea maana atalipa yote hahah tena kwa uchungu

hapo hapako kichwani kwangu kabisa, ngoja niku pm kwa maelezo zaidi mami ndio utanieewa vizuri.
 
..... nakwambia yaani Fidel nadhani leo kaniota hahaha ananibambikizia kesi hata zisizo zangu!! Salama kabisa habari za Mbulu!

Watoto wa huko mi roho iwa inaniuma nikiwaona yaani acha tu Mungu kawapendelea naamini Tanzania nzima watoto wazuri wapo huko.
 
... Kama nakuona udenda unavyoilowanisha keyboard yako Fidel- kuna jehanam kaka yangu (joke)
 
kwi kwi kwi kwiiiiii ,.... chitiii neno hapo

Ndo tuseme umetokea Mbulu...ama?🙂 ili kama vipi nipeleke some remittances nyumbani kwa wazee huku 'kulinda heshima' lol
 
hahahaha aaagh wapi wala chijatokea hukoo, basi tu hawa wapendanao MJO na fidel wananipa raha...
 
hehe,, kwani tayari jamani mbona wadau hatujaambiwa au ndo kimya kimya?🙄
 
......... agika usinitafutie kesi ndugu yangu uzito wa Fidel si unaujua!!! Simuwezi mie jamani nshasema!

........ Na hivi keshastuliwa juu ya 70,000 za retouch, kwangu atakata panga hata za kawaida, ukimwabia ni shs 2000 kuosha kucha atakupa 1000 ukiamua kusafisha mguu mmoja juu yako! ah sitaki tabu mie
 
... Kama nakuona udenda unavyoilowanisha keyboard yako Fidel- kuna jehanam kaka yangu (joke)

Yaani we acha na zile figa nameza sana mate mmmh hivi viportable vipo kweli? Kwanini hawagombei umiss?
 
hehe,, kwani tayari jamani mbona wadau hatujaambiwa au ndo kimya kimya?🙄
mhhhh naona tangu fide aweke bayana swala kujiexpress na tigo ,naona shost wangu amepatwa kwi kwi kidogo. maana fidel alimbeep MJO akazima simu kabthaaa hataki kuthkia hiyo kitu.
lakini kaizer tusiingile mapenzi ya watu jamaniii
 
........ Na hivi keshastuliwa juu ya 70,000 za retouch, kwangu atakata panga hata za kawaida, ukimwabia ni shs 2000 kuosha kucha atakupa 1000 ukiamua kusafisha mguu mmoja juu yako! ah sitaki tabu mie

Taratibu mama.....nimesha mpiga chini anatuma sms za kumwaga kuomba samahani lakini nimeziba maskio akipiga sipokei mpaka anaamua kutumia line zingine hapa ame***kambi. Wewe tulia tu maneno mengi ya nini.
 
Duh...... nimekoma kisebusebu na kiroho papo!
 
mhhhh naona tangu fide aweke bayana swala kujiexpress na tigo ,naona shost wangu amepatwa kwi kwi kidogo. maana fidel alimbeep MJO akazima simu kabthaaa hataki kuthkia hiyo kitu.
lakini kaizer tusiingile mapenzi ya watu jamaniii

..............wepi?
 
Duh...... nimekoma kisebusebu na kiroho papo!

Hehehe wale jamaa wanao waosha miguu sijui wacongoman iwa wananiumiza roho wale utaona kaushikilia mguu wa mke wa mtu dah....nikiwepo mm sikubali.
 
Amah.. ndo kusema utaushika weye na yeye aoshe tu?
 
mhhhh naona tangu fide aweke bayana swala kujiexpress na tigo ,naona shost wangu amepatwa kwi kwi kidogo. maana fidel alimbeep MJO akazima simu kabthaaa hataki kuthkia hiyo kitu.
lakini kaizer tusiingile mapenzi ya watu jamaniii

Ndo tumeshaingilia ivo...lol...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…