Handling finances in marriage.... advice

.............. Unalo unalonitaka Fidel. Laiti ningekuwa na bahati hiyo.

Hehehe basi atakuwa Nyamayao...
Lakini si unakumbuka ile ishu ya hapo kazini kwenu jamaa anamtumia bibie vocha ya ten alafu yeye anaweka kwenye cmu 500 au kajitahidi 1000.
 
Account ya pamoja mnaweza kuwa nayo lakini pia kila mmoja awe na account yake/zake binafsi..kuondoa micro management hata pale ambapo hapastahili.Mfano, kwenye ndoa pamoja na transparency kuwa kitu cha muhimu, siyo kila mara mke au mume utataka kujua mwenzio hela anafanyia nini.Mimi binafsi sipendi kujua anafanya nini kinachohitaji pesa kila mara.Kadhalika nisingependa ajue kila transaction yangu - imagine hata kama ni kupeana surprises itawezakana vipi kama inabidi mwenzio apitishe/a sign cheque? si ataanza kuuliza hii pesa yote unataka kufanya nini?....
Mwisho wa siku uchaguzi ni wako/wenu na style ya maisha yenu.
 
Hehehe basi atakuwa Nyamayao...
Lakini si unakumbuka ile ishu ya hapo kazini kwenu jamaa anamtumia bibie vocha ya ten alafu yeye anaweka kwenye cmu 500 au kajitahidi 1000.

Utakuwa umechanganya madawa kaka yangu lol
 
Swadsactaaaa WoS umenikuna palepaleeeeeeee, kuna vjisource vingine vya hela inabidi uweke kwenye personal account inategemeana na kazi unayofanya na kuna vijitransaction vingine vikionekana kila siku vinaleta maswali unnecessarily, basi kila cent utakayompa mama yako mumeo ajue? mhhh mwisho atacomplain unahudumia sana familia yako kuliko yake.so accountya pamoja ni muhimu kwa kufanya saving kuachieve some goals in the family kwasababu inalimit access mpaka wote mkubaliane.kwahiyo kila mmoja anakuwa na uwezo wa kumcontrol mwenzie for that particular account.
 
hehehehehehehehe....umefumania eeh...asubuhi asubuhi...mambo?πŸ™„

..... nakwambia yaani Fidel nadhani leo kaniota hahaha ananibambikizia kesi hata zisizo zangu!! Salama kabisa habari za Mbulu!
 
hata mie mwenyewe nimemuona mzuri...lol, kama kipato chake kinaruhusu kufanya yote na anakushirikisha vilivyo nadhani hakuna shida hapo.
 
thank you mummy but please serve that congratulation until i celebrate my 20th anniversary coz hawa viumbe mummy wanabadilika kama vinyonga, but for now am happy and am enjoying it atleast till then....
 
Hehehe basi atakuwa Nyamayao...
Lakini si unakumbuka ile ishu ya hapo kazini kwenu jamaa anamtumia bibie vocha ya ten alafu yeye anaweka kwenye cmu 500 au kajitahidi 1000.

kuna wakati nilikuwa na mr bega kwa bega kuhusiana na mipangilio ya kifedha home, akaja kunipasua nyongo, cku hizi pesa yangu ni yangu yake ni yetu (mie na wanae) watoto wangu wale,wavae wasome vizuri, mengineyo tutayaangalia kama tunaweza kusaidiana kidogo.
 
thank you mummy but please serve that congratulation until i celebrate my 20th anniversary coz hawa viumbe mummy wanabadilika kama vinyonga, but for now am happy and am enjoying it atleast till then....
.............. Ah mamii kuwa na imani mama kuwa na imani (have faith mummy have faith) lol
 
duu! mie hiyo siiwezi.
 
.......... pole dada ila imenibidi tu nicheke

Mama mkwe wangu alishawahi kutuhusia kuwa kama mwanamke ulipomuoa alikuwa na tabia nzuri (kimaelewano) akijabadilika basi wewe ndie chanzo mama. Nimeamini
 
.......... pole dada ila imenibidi tu nicheke

Mama mkwe wangu alishawahi kutuhusia kuwa kama mwanamke ulipomuoa alikuwa na tabia nzuri (kimaelewano) akijabadilika basi wewe ndie chanzo mama. Nimeamini

na bahati mbaya yake hawezi kuniuliza chochote na kipato changu kwasaa kutokana na rafu aliyoicheza wakati ule, yaani matumizi yangu yacpungue hata nukta maana hakutakalika, na analijua hilo baada ya rafu yake naona sasa hivi mambo shwari,tutatumia hizo hizo zake, hata hivyo kipato chake kinaruhsu...lol
 
..... nakwambia yaani Fidel nadhani leo kaniota hahaha ananibambikizia kesi hata zisizo zangu!! Salama kabisa habari za Mbulu!

Huku baridi! halaf wenyewe hawataki waitwe 'wambulu' eti ni wairaq.....ila wamejaaaliwaπŸ™„
 
.......... pole dada ila imenibidi tu nicheke

Mama mkwe wangu alishawahi kutuhusia kuwa kama mwanamke ulipomuoa alikuwa na tabia nzuri (kimaelewano) akijabadilika basi wewe ndie chanzo mama. Nimeamini

MJ1 Usiamini haraka hivyo...'soma' zaidi.....
 
mmm Nyamayao, hebu tupe hiyo rafu ili tuone kama ilikuwa rafu kweli au ni ilikuwa challenge ya kawaida kwenye mchezo, si unajua wewe unaweza kuona rafu kumbe sheria za mpira zikasema hiyo 'imo'.. ee hebu tumuvuzishie isije ikawa unamblast tu Mr.....πŸ˜‰
 
.............. Ah mamii kuwa na imani mama kuwa na imani (have faith mummy have faith) lol
hahahhahaha hayo mambo yajipe moyo utayashinda mwachie mwenyewe flora mbasha mie siyawezi ukijipa moyo halafu ikaja kutokea nyamayao ya kupasuliwa nyongo mie naona ntakufa kabsaa so bora tu nienjoy ninachokipata for now till zen.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…