beast18
JF-Expert Member
- Mar 20, 2016
- 320
- 483
haya magar ya siku hizi pasua kichwa sana , nikikumbuka mikangafu yetu ya zamani haiendi bila kutoa handbrake halafu siku hizi gar ukiweka D tu inateleza nashangaa sana , nije kwenye swali sasa , je kuna matatizo yoyote ya kuendesha gar huku sijatoa handbrake , maana nimejaribu jana siku nzima nimeburuza tu zaidi ya kitaa kuwaka cha kuonyesha sijatoa handbrake hakuna tatizo lililojitokeza, wataalamu mnaweza kusema kitu hapa kama kuna tatizo lolote linaloweza kujitokeza kutokana na kuendesha bila kutoa handbrake