Hanang, Manyara: Mabomu na risasi zatumika kwenye uchaguzi; polisi wadaiwa kuiba kura

gost

JF-Expert Member
Dec 31, 2012
275
135
Chanzo cha hii habari ni mimi mwenyewe nipo tayari kutoa ushahidi nachukua video sasa hivi.

Polisi waiba kura na kukamata watu na kutumia risasi na mabomu muda huu Manyara Hanang, hali ni mbaya sana.

Wameshafanikiwa kuteka vituo 4 mpaka sasa kati ya vituo 11 mapambano yanaendelea kati ya wananchi na mapolisi.
 
Back
Top Bottom