Hanang, Manyara: Mabomu na risasi zatumika kwenye uchaguzi; polisi wadaiwa kuiba kura

Sasa hofu yao nini huku wananchi wote wanampenda Rais Magufuli pamoja na CCM yake.
Na wasiompenda na tunaomsema mitandaoni ni sisi tu wachache tuliotumbuliwa kwa vyeti feki ambao sijui tuko elfu 12 tu.
Tafakari yenye ujumbe mzito. Hadi 2020 hutakuja kupewa jibu. Labda matusi tu
 
Back
Top Bottom