Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,741
- 3,316
- Thread starter
- #41
Dah! ko nirudi1 kbsaTatizo lako umemuonesha una njaa nae, umefanya pupa kumwambia mkutane.
Dah! ko nirudi1 kbsaTatizo lako umemuonesha una njaa nae, umefanya pupa kumwambia mkutane.
The rest remains with me. Muhimu chukua tu hiyo mbinu.Dah asee mlishaachana?
Na ni kweliNlikua nawaza hilo ila nkahic ataona najipendekeza
[emoji1490][emoji1490]Mwanamke usimuulize lini ana muda, we mwambie jumamos naomba twende lunch/dinner basi. Ukimpa kazi ya yeye kupanga siku utachelewa