Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,741
- 3,316
Wakuu hivi hii lock naitoaje?
Kuna binti flani nimetokea kuvutiwa nae sana
bahati nzuri juzi hapa tukakutana na akanipa namba yake
Ila changamoto ni kuwa nimemuuliza lini atapata nafasi tuonane nae,kanijibu hana muda kabisa yuko busy siku zote
Hapa wakuu nafanyaje maana siwezi tena kurudia kumuomba wakati kashasema hana muda[emoji2][emoji21]
Dah mapenzi haya.