Wakuu hivi hii lock naitoaje?
Kuna binti flani nimetokea kuvutiwa nae sana
bahati nzuri juzi hapa tukakutana na akanipa namba yake
Ila changamoto ni kuwa nimemuuliza lini atapata nafasi tuonane nae,kanijibu hana muda kabisa yuko busy siku zote
Hapa wakuu nafanyaje maana siwezi tena kurudia kumuomba wakati kashasema hana muda[emoji2][emoji21]
Dah mapenzi haya.
Muangalie ana changamoto zipi,baada ya hapo anza kutatua moja baada ya nyingine;mwenyewe lazima atalowana tu na kuanza kukutafuta.Kama zipi? na timing ya kumuomba tena iwe baada ya mda gani
Mwanamke usimuulize lini ana muda, we mwambie jumamos naomba twende lunch/dinner basi. Ukimpa kazi ya yeye kupanga siku utachelewa
Ngoja nibadili giaInategemea na lugha uliyoitumia haijamshawishi.
Unaweza kukuta kila mara jamaa ndio anaanzisha mawasiliano. Hiyo imekaaje ?Kwa kuwa kakupa namba zake, means anategemea utamtafuta. Katika kumtafuta we onesha kumjali na kumjulia hali kila mara umtafutapo pasipo kuingizia hisia zako kwake, taratibu utaanza kumteka kwa staili hiyo. Ukiona mazoea yameongezeka, siku mwambie tu katika vitu unatamani /ndoto yako ni kumtoa out siku moja. Haweze chomoa aisee.
Kila la heri.Ngoja nibadili gia
Kwa kuwa kakupa namba zake, means anategemea utamtafuta. Katika kumtafuta we onesha kumjali na kumjulia hali kila mara umtafutapo pasipo kuingizia hisia zako kwake, taratibu utaanza kumteka kwa staili hiyo. Ukiona mazoea yameongezeka, siku mwambie tu katika vitu unatamani /ndoto yako ni kumtoa out siku moja. Haweze chomoa aisee.
Haina tatizo. Cha msingi ni kutohesabu kuwa eti wewe pekee ndo kila siku unaanzisha mawasiliano. Hawa viumbe wanajielewaga wenyewe. Ishawahi nikuta kwa demu mmoja. Nilikuwaga namtext tu sometimes hajibu na hata akijibu Basi anakujibu kwa mkato ili mradi tu akukatishe. Kuna kama siku 4 hivi hakuonekana WhatsApp nikampandia hewani. Kumbe alikuwa anaumwa, kile kitendo cha mimi kumpigia alifurahi Sana. Tangu siku hiyo ye ndo akaanza kunitafuta. Baada ya kuwa kwenye mahusiano ndo akanichana kuwa alikuwa ananichukia na alikuwa ananijibu hovyo just kunikatisha tamaa. Akawa anajishangaa ilikuwaje upepo ukabadilika hivyo.Unaweza kukuta kila mara jamaa ndio anaanzisha mawasiliano. Hiyo imekaaje ?
Ni kweli kabisa. Kudeal na nyinyi viumbe yataka moyo na uvumilivu. Maana mnachokikataa leo kesho ndo mnachokipenda.Wewe unajua,...... Sio kila mtu ukimwambia mara moja nataka nikuone akikataa basi ukate tamaa...
Wengine wanapima imani yako na kujali kwako
Tatizo lako umemuonesha una njaa nae, umefanya pupa kumwambia mkutane.Endelea mwamba,naangamia ujanja umeishia hapa
Huyo alikuwa na nafuu.Haina tatizo. Cha msingi ni kutohesabu kuwa eti wewe pekee ndo kila siku unaanzisha mawasiliano. Hawa viumbe wanajielewaga wenyewe. Ishawahi nikuta kwa demu mmoja. Nilikuwaga namtext tu sometimes hajibu na hata akijibu Basi anakujibu kwa mkato ili mradi tu akukatishe. Kuna kama siku 4 hivi hakuonekana WhatsApp nikampandia hewani. Kumbe alikuwa anaumwa, kile kitendo cha mimi kumpigia alifurahi Sana. Tangu siku hiyo ye ndo akaanza kunitafuta. Baada ya kuwa kwenye mahusiano ndo akanichana kuwa alikuwa ananichukia na alikuwa ananijibu hovyo just kunikatisha tamaa. Akawa anajishangaa ilikuwaje upepo ukabadilika hivyo.
Keep on texting her. Keep on calling her. Ila this time punguza kumtafuta, just to make her notice your presence. Endelea tu na maisha yako mengine, ye fanya ushamtoa kwenye hesabu zako. Ya kesho Momi na wewe hatuyajui.Huyo alikuwa na nafuu.
Kuna kesi nyingine unakuta binti ukim text hakujibu na ukimpigia pia hapokei simu na wala hakutafuti. Hapo unafanyaje ?
Haina tatizo. Cha msingi ni kutohesabu kuwa eti wewe pekee ndo kila siku unaanzisha mawasiliano. Hawa viumbe wanajielewaga wenyewe. Ishawahi nikuta kwa demu mmoja. Nilikuwaga namtext tu sometimes hajibu na hata akijibu Basi anakujibu kwa mkato ili mradi tu akukatishe. Kuna kama siku 4 hivi hakuonekana WhatsApp nikampandia hewani. Kumbe alikuwa anaumwa, kile kitendo cha mimi kumpigia alifurahi Sana. Tangu siku hiyo ye ndo akaanza kunitafuta. Baada ya kuwa kwenye mahusiano ndo akanichana kuwa alikuwa ananichukia na alikuwa ananijibu hovyo just kunikatisha tamaa. Akawa anajishangaa ilikuwaje upepo ukabadilika hivyo.