Hana Harufu kabisa

Hana Harufu kabisa

Wadau,
Je kuna wanawake ni wasafi kwenye uchi wao kiasi hawatoi harufu yoyote, Maana mpenzi wangu huwa nashindwa kuelewa, wanawake woote niliowahi kuwa nao huwa kuna muda uke unakua na kaharufu flani lakini hyu nilienae saivi ukiingiza kidole kwenye uke hana harufu yoyote, niliwahi kumuuliza anatumia nini akaniambia hatumiaa dawa wala sabuni yoyote ila kila wakati akitoka kukojoa ananawa na maji.
Nashangaa kwa kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wenye harufu ni wale wanaojifanya wazungu wana nawa kwa toìlet paper papuchi lazima inuke mkojo
Wakati binti wa kiislam ana nawa kwa maji kisha anakausha kwa toilet paper

FaizaFoxy
Madame B

@
 
Nilwah kuwa na mpnz ata akae sku nzima bila kuoga hanukii ile harufu ya papuchi
Wengine ni matatizo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom