Hana Harufu kabisa

Hana Harufu kabisa

Wadau,
Je kuna wanawake ni wasafi kwenye uchi wao kiasi hawatoi harufu yoyote, Maana mpenzi wangu huwa nashindwa kuelewa, wanawake woote niliowahi kuwa nao huwa kuna muda uke unakua na kaharufu flani lakini hyu nilienae saivi ukiingiza kidole kwenye uke hana harufu yoyote, niliwahi kumuuliza anatumia nini akaniambia hatumiaa dawa wala sabuni yoyote ila kila wakati akitoka kukojoa ananawa na maji.
Nashangaa kwa kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee
 
Kuna harufu mbaya mpaka ukiihisi hata hamu ya mapenzi inakata, lakini kuna harufu natural ya papuchi, hiyo hata atumie pafyum kitajitokeza tu japo kidogo. Kwa mwanamke kukosa kabisaaaaaa yaani completely no pafyum no nini!!!, aisee kuna shida tena sio ndogo.

Barafu la moto
 
Kipindi Unapima OIL Ulitumia DOLE GUMBA au DOLE la KATI?.

tuazie Hapa Kwanza:
 
Nikiwa mdogo nilikuwa nashangaa sana ninapoona mbuzi au ng'ombe au farasi na wanyama wengineo madume kabla hawajapanda majike lazima wanuse nuse kwanza pale pahala na baadhi yao kubinua vimidomo vyao kisha wanarudia tena na tena hlf ndio wanapanda wanamaliza mtanange.

Nilipokua nikajua kumbe kile kitendo huwa kina raha yake baaana!
Na wewe huwa unanusa eenh
 
Punguzeni kudhalilisha wapenzi wenu jamani, hv kweli umeona hilo nalo lakuja kumfungulia uzi? duh
 
Kuna ushahidi kwamba hilo eneo likiwa busy huwa halitoi harufu kabisa. Huwa unali-keep busy hilo eneo?. Labda tuanzie hapo.
 
Ndio mnaotusababishia saratani ya kizazi. Hilol dole lako ni safi kuweka huko mahali?!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom