AUGUSTINO MWINUKA
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 241
- 284
Nataka niwe HAMZA. Sasa wakujitolea kunidhulumu aje.
sasa hutaki aitwe shujaa!!!
basi shujaa wako ni hamza,kutoka ccm.kule nyumbuni mashujaa wamekosekana kabisa.
Ngoja nikuulize swali
Kwanini una sema Hamza kafa kishujaa?
Hakufa kwa korona kama yule mwingine.
Alisema kweli na video zipo. Abiria aliyekuepo kwenye daladala alirecord na anaonekana kabisa akisema. Hakusema KWAMBA kaibiwa, hakusema
Nini sababu ya mazishi kucheleweshwa na risasi zilizotulia mahali pake?Awali mwili huo ulitarajiwa kuzikwa saa 7 mchana katika makaburi hayo, lakini msemaji wa familia Abdulrahm Hassan alisema mwili huo ulichelewa kwa sababu ya kazi ya kutoa risasi zilizokwama.
Bakwata wanajitambua!Najaribu kuwaza ingekuwaje reaction ya ndugu zetu wa upande wa pili kama tukio hili lingetokea wakati Raisi ni mkristo!?harafu weka na matamshi ya IGP(ambaye ni mkrsto)akiilaumu familia ya Hamza
Wewe una evidence yoyote kuonesha kuwa aliporwa au kuonewa na polisi.. ?Amekufa akipinga uonevu wa polisi kupora mali yake, akijua kuwa hata akienda mahakamani atapoteza wakati maana kote huko ni mjumuiko wa wanaopora haki.
Inawezekana huna update,taarifa ya hivi karibuni ilisema meko wameshamtwaa wakamfanya kuni za kuwabanikia waovu wenzakeHamza yuko na malaika,kamkuta meko kibarua anajenga sgr na mashetani wenzake
Amen..Mauaji yalisababishwa na polisi kutotenda haki, dhuluma! Mungu amuweke Mahali Pema Peponi