Hamza Mohamed Hassan azikwa makaburi ya Kisutu, Dar. Mazishi yachelewa kutoa risasi zilizokwama mwilini

Hamatan

JF-Expert Member
Nov 10, 2020
2,658
2,000
Pole sana.
Tupeane pole Watanzania wote kwa nchi yetu kushindwa kuwa na taasisi zinazotenda haki, na hivyo kutupatia uhakika wa jamii yetu kuwa na usalama na amani ya kweli.

Ndoto ya Mwalimu Nyerere ilikuwa kujenga Taifa litakalokuwa la mfano Afrika kwa kutambua na kuheshimu thamani ya utu. Ndoto yake hiyo imeharibiwa kabisa, kiasi cha Tanzania kuwa Taifa la kukemewa na mataifa yaliyostaarabika kwa kukiuka haki za msingi za wananchi wake.
 
Bablemuba

Senior Member
Jul 14, 2020
121
250
Nimefatilia comment za milad ayo juu ya mazishi ya hamza....nimegundua hamza kazikwa na watu wengi kuliko waliokuwa makaburini.yaan watu ndo wameonesha masikitiko makubwa na pole nyingi juu ya ugu wake...makuu hii imekaeje mana kila coment inamtakia jannat ferdaus..
 
Donnie Charlie

JF-Expert Member
Sep 16, 2009
10,939
2,000
Nimefatilia comment za milad ayo juu ya mazishi ya hamza....nimegundua hamza kazikwa na watu wengi kuliko waliokuwa makaburini.yaan watu ndo wameonesha masikitiko makubwa na pole nyingi juu ya ugu wake...makuu hii imekaeje mana kila coment inamtakia jannat ferdaus..
polisi wajitathimini.
 
RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
45,813
2,000
Kumwita mtu gaidi kama siyo gaidi, hakumfanyi kuwa gaidi.

Huenda hata maana ya terrorist huelewi. Kama ungekuwa unajua maana ya terrorist, usingeshindwa kutambua kuwa Tanzania tuna terrorist police force, na tuna terrorist government. Ndiyo maana wanateka, wanabambikia watu kesi, wanawatesa watu mahabusu na wakati fulani mpaka kusababisha vifo, nia ni kuwafanya raia waogope. Kufanya matendo ya kinyama ili watu waogope, ndiyo maana halisi ya ugaidi.
Pole sana
 
Planett

JF-Expert Member
Mar 20, 2014
9,154
2,000
Nimeangalia clips za mazishi ya bwana hamza, kwakweli Siro namuonea huruma sana. Anawezaje kumuita gaidi, mtu wa hovyo.. mtu ambae watu bila hata kupepesa macho wanamsifia kwa mazuri aliyofanya angalia comments za watu ndio utajua kwli police hapa wamebugi step.
 
20PROFF

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
7,822
2,000
Nabii Hamza ametufundisha Kupiga na kuangamiza wadhurumati. Hamza ni SHUJAA. Punzika kwa Amani Mwamba..
wazurumati kawaacha, kaenda kwa watu wanyonge wanaotii na kufata maelekezo kulingan na viapo vya kazi yao.

Alikuwa boya tu huyo hamza. Angeend kuwa tafta vigogo wenye nchi sio anakaaa anajipiga piga kifua kama Dume la nyani, Kafa kijinga kwa ujinga.

Kaacha familia za wafia zikiteseka tu. nawashangaa Sana wafia dini.
 
mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
5,118
2,000
Nimeangalia clips za mazishi ya bwana hamza, kwakweli Siro namuonea huruma sana. Anawezaje kumuita gaidi, mtu wa hovyo.. mtu ambae watu bila hata kupepesa macho wanamsifia kwa mazuri aliyofanya angalia comments za watu ndio utajua kwli police hapa wamebugi step.
Naomba Mungu anipe roho ngumu kama ya Hamza hao watu wana tuonea sanaa ila one day itakua yes.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom