Hamuwezi kuamini jamani...

Under what circumstances Swts? Mlikuwa msibani au? Ulilala na jeans? Mlikuwa mmelewa sana? au ulilala na watoto?

tulikuwa wazima tu soma vizuri utaelewa
 
Last edited by a moderator:
No its Not Normal!

Kidume huwezi lala na demu ndani usiku kucha bila chochote kutokea unlesss.......
aisee trust me inawezakana..mkiwa wote mnamalengo. and no mitego unalala mpaka kunakucha
 
Under what circumstances Swts? Mlikuwa msibani au? Ulilala na jeans? Mlikuwa mmelewa sana? au ulilala na watoto?
hehehe mentor bana mgumu kuamini..
me ya kwanza nilitoka mahali usiku (nilipata matatizo yagari )naishi karibu na mitaa nilipoenda so i called him(a good friend of mine),nikaenda kulala kwake. sikuwa nimelewa wala hakuwa amelewa and believe me nothing happen.

ya pili my roomate siku tukibambana wote off tunashinda pamoja..movies, na tunaweza lala sebuleni hadi asubuhi. and each of us have our sigothers! amd nothing happen.
 
Sio ujasiri coz unaonyesha dat ulitaka bt ukakosa njia ya kumshawishi..tena na wasi wasi na ulivyoenda kuoga.,ulinyetoka
 

haya sasa kumbe inawezekana sio
 
aisee trust me inawezakana..mkiwa wote mnamalengo. and no mitego unalala mpaka kunakucha

Inawezekana tu kwa mfano demu ni mke wa mshkaji wangu wa karibu tena sana na kuna emegency ya kuelewka, au blood related!
 
rudia tena kaka usikubali kirahisi hivyo atakutangazia vibaya............!!!!!!!!!!!
:yo:
 

Sasa kama wewe mwenyewe huamini ...
Unataka nani aamini:what:πŸ™„πŸ˜›πŸ™„
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…