niite basi na mimi Lara 1. hata mimi ni wa maonyesho ila tofauti yangu ni kuwa nikiamka naosha vyombo,kudeki na kufua halafu naacha hela kuanzia kitafunwa mpaka hela ya Bibi yako Marangu!We ni Joka la Maonesho/kibisa. Nishajiridhisha pasipo shaka yoyote.
Huyo dada anawe mikono tu.! Juhudi zote kukuvizia na kukuleta kwake msobe msobe, kukulaghai usiondoke, kukutega, Bado BILA BILA!!!!!!!!! Kiruuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!! Mburaaaaaaaaaaa!
man thats normal kwa mtu anaejiheshimu! binafsi nshafanya hivyo mara kadhaa.
Nyuki wa mashineni kabisa ww.
Wewe mwanamme???
Ahahahaha!!
Af eti unasimulia!
Ulitaka akuwekee kwenye glass kama juice au?
hapo chacha!!!