haaaaa! kama palikucha NIL NIL, yeleewiiii wahi kwa babu kutoka sumbawanga. chaji itakuwa imeishaa( joking)
Nyuki wa mashineni kabisa ww.
ila kweli we usiku kucha kashindwa kuvibrate
man thats normal kwa mtu anaejiheshimu! binafsi nshafanya hivyo mara kadhaa.Sina mazoea nae lakini kilicho tokea mpaka leo siamini,ni mdada mtu mzima tukiwa na mazoea ya stori za apa na pale siku moja ilitokea akiwa anarudi kazini nikamwomba nimsindikize hadi kwake bila hiyana tukafika ndani mtoto akaniwashia kideo tangu sasa 10adi02ucku nikiangalia mda umesha tembea kwangu ni mbali kidogo nakwake unajua nini kilitokea
nikamwomba anisindikize ikuwezekana basi tukakubalia kulala pamoja kitandani lakini kwa sharti pasiwe na usumbufu nikakubali mtu mzima da amuwezi amini wa dau mpaka kulikucha.
Je ninani anaweza ivyo jamani?
angalizo mm ni mwanaume nilie kamilika kila idara binafsi nimeshindwa kuamini kilicho tokea
heheh hang'ati sio..hahah watu kwa maneno!!!!!:laugh:Nyuki wa mashineni kabisa ww.
We ni Joka la Maonesho/kibisa. Nishajiridhisha pasipo shaka yoyote.
Huyo dada anawe mikono tu.! Juhudi zote kukuvizia na kukuleta kwake msobe msobe, kukulaghai usiondoke, kukutega, Bado BILA BILA!!!!!!!!! Kiruuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!! Mburaaaaaaaaaaa!
man thats normal kwa mtu anaejiheshimu! binafsi nshafanya hivyo mara kadhaa.
kawaida tu, mimi nimeshalala kitanda kimoja na mademu sita siku tofautitofauti na sikuwagusa kabisaaa, kwa sababu nilikua najua kwa 90% bwana zao wana vile virus fulani hivi.Sina mazoea nae lakini kilicho tokea mpaka leo siamini,ni mdada mtu mzima tukiwa na mazoea ya stori za apa na pale siku moja ilitokea akiwa anarudi kazini nikamwomba nimsindikize hadi kwake bila hiyana tukafika ndani mtoto akaniwashia kideo tangu sasa 10adi02ucku nikiangalia mda umesha tembea kwangu ni mbali kidogo nakwake unajua nini kilitokea
nikamwomba anisindikize ikuwezekana basi tukakubalia kulala pamoja kitandani lakini kwa sharti pasiwe na usumbufu nikakubali mtu mzima da amuwezi amini wa dau mpaka kulikucha.
Je ninani anaweza ivyo jamani?
angalizo mm ni mwanaume nilie kamilika kila idara binafsi nimeshindwa kuamini kilicho tokea
pongezi nachukua ila me sio kaka. ila ukiwa na watu wanaojiheshim inawezekana!nakupongeza sana kaka. unajua watu uzinzi wanalichukulia jambo la kawaida sana
cha ajabu kipi hapo?