Hamu ya mapenzi na hasira!

Kiwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
2,102
Reaction score
910
Habari zenu wakuu,
Mimi swali langu ni fupi tu!kuna uhusiano gani wa hamu ya mapenzi (nye**) na hasira?!
Nimejichunguza muda mrefu kidogo na nimegundua nisipopata yale mambo kama kwa wiki hivi nakuwa wa ajabu ajabu yan,kazi haziendi,uwezo wa kufikiri unapungua,hasira hasira bila mpango!Ila pindi nnapopata vyombo toka kwa mamaa aaaah narudi normal kabisa!
Ni hali ya kawaida au kujiendekeza?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Sex is a stress reliever, so they say.

So get laid often and you won't be stressed.
 
.....yeah, hiyo inaitwa obsession, tame it before it becomes a habit/addiction!
 
How do you get laid if you are so moody?!

Unless it (moodiness) totally impinges on your ability to function as a human being, otherwise I don't see how it can prevent one from getting it given all the options that are available out there.
 
Yaelekea huna entertainment nyingine zaidi ya hiyo. Hebu jishughulishe kivingine, inakuwaje mamaa akiumwa au akipata dharura ya safari si utapelekwa mirembe wewe!
 
Yaelekea huna entertainment nyingine zaidi ya hiyo. Hebu jishughulishe kivingine, inakuwaje mamaa akiumwa au akipata dharura ya safari si utapelekwa mirembe wewe!

Yan me entertainment zote nnazo ila ikifika kwenye hiyo ishu hata nifanye nn yan akili inaruka kabisa!mamaa mwenyewe kashanielewa yan,ila nikisafiri kikazi ndo anakosa aman kabisa,anajua naweza hata kununua

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Nyege mbaya!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Huko ni kujiendekeza, inabidi ufanye kazi kwa sana ili kufanya usifikirie kungonoka kila wakati.
 
Nilidhani ni yeye mwenyewe kumbe wapo wengi. Wataalam wa haya mimambo leteni msaada wa kutosha kwa hili jambo hasa kwa wanaume maana sijui kwa wanawake.
 
Mabwaku week tu.... Je mkeo akijifungua si utaenda kununua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…