Zorrander
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 438
- 233
Mabwaku week tu.... Je mkeo akijifungua si utaenda kununua?
Jamani hili la mke kujifungua tuliacheni tu! Nahisi ni siri ya kila mwanaume alipitaje kipindi hiki, sitaki hata kukumbuka.
Mwanamke amekuwa kisirani (eti mimba haikupendi), toka akiwa na miezi saba mtu hujapewa mashine, ukipulizia pafyum anatapika (na umeme wenyewe huu full kunuka mijasho ofisini), ukimpigia sm hapokei usipopiga humpendi, ukiwahi kurudi nyumbani anakununia ukichelewa unatafuta malaya kisa yeye kachoka, hamna jema analoongea zaidi ya matatizo na lawama, yaani!!!aaaah siandiki hata mengine...