Hamu isiyoisha

hahahaha mhh ukame huo hatari sana unaweza ukabaka kuku wewe si bure na huyo mwanamke itabidi asiwe anavaaa ch..... ukitaka tu a nafunua hahahah
 
Hewaa mtoto ungekuwa wangu weye.... mbona ningelifaidi kudadeki!!!!
 
Kwenye kila kitu, iweni na kiasi.
 
Nadhani yule bwana wa mafia anahusika zaidi.
 
Jamani hivi hamu kali ya ngono husababishwa na nini?
Hata ukicheza mechi masaa manne mfululizo ukikaa kidogo hamu imerudi mahali pake, yaani mpaka mtu anaweza akadhania unataka afie kiunoni kwako.
Msaada tafadhali
Ni "hamu" ya 'kuingiliwa' au ni ya kufanya mapenzi kwa ujumla (not necessarily kuwe na intercourse)?
 
Hujafikishwa panapotakiwa ufike.
 

Haswaaa mama,umesema kweli tupu!wakishazoeana hao hamu zitapungua!
 
Last edited by a moderator:
Mbona unaichukulia kama 'tatizo'?
Binafsi nadhani unapaswa kusema ahsante..manake jinsi hizi 'nguvu' za kike na kiume zinavyotafutwa?..lol
We jiachie tu mradi kama huibi!
 
Kunywa maji kwa wingi kupunguza mawazo,pili fanya mzoezi ya kutosha ili kufanya mwili usiwe loose.
 
Ujue mimi nilijua ni mwanaume, kumbe mdada. Utakimbiwa shauri zako, kwa mfumo huu tulionao mwanaume ndio anapaswa kuwa nA sex drive kali kama yako.
 
Nadhani ni matokeo ya uzalishwaji mkubwa wa vichocheo.
Jaribu uwe unaupa mwili wako mazoezi na kuepuka kula lishe iongezayo utengenezwaji vichocheo kwa wingi.
 
Nazjaz una watoto?. Kama huna, kwa kuwa umeolewa na kama huna shida nyingine basi shika mimba zaa. Watoto wataku-keep bize hiyo hamu itapungua tu!!
 
Jamani hivi hamu kali ya ngono husababishwa na nini?
Hata ukicheza mechi masaa manne mfululizo ukikaa kidogo hamu imerudi mahali pake, yaani mpaka mtu anaweza akadhania unataka afie kiunoni kwako.
Msaada tafadhali

Una ugonjwa wa lawalawa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…