Hamu ilo shinda zote. Dhambi iliyounganisha yote

Hamu ilo shinda zote. Dhambi iliyounganisha yote

ELI COHEN

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
9,376
Reaction score
28,490
Raha ilioshinda walio "ishinda" dunia

Raha iliowapiku walio "upiku" ulimwengu.

Raha yenye uwezo wa kuumba na kuangamiza.
Screenshot_20250820-140412.png


Raha iliotengeneza mipaka mipya na kuharibu ya zamani.

Raha iliofanikiwa kupenyeza na ku-disrupt akili ingawa kufunikwa na moja ya mifupa migumu kuliko yote mwilini.

Raha iliowajengea wasio na uwezo wa kujenga.

Raha iliowabaomolea walioweza kujenga.
 
Tatizo sio Ngono tu, unaijua Ngono Salama ? na namna ya kuchagua wa kufanya nae.

Tatizo sio kula Wali pilau Tu, Unajua kuutumia huo wali, kula kitimoto unajua kukitumia ???

Kuna watu Sukari ziko juu, Mjegeja legevu, Stroke mpenzie kisa Wali kuku chips

Sasa wewe endelea kutia tia ovyo 🫵🏾
 
Back
Top Bottom