Nilikiwa naangalia hapa Top mashariki ya KBC tv ya kenya Harmorapa kashika namba 3 wimbo wake wa kiboko ya mabidhoo akimwacha Diamond no 5 na marry me, no moja imeshikwa na Darasa muziki
Sasa hapo umenza kupingana na ukweli juzi mwenzie kakimbia bastola, yeye jana ana mkimbia mwenzie.
Sija liona hilo tukio vzuri ila ntalifuatilia, naihisi harminize ali epa kweli
Hahahaha
Kwani wangekuta kulikuwa na shida gani? Na harmonize si alisema yeye hana kinyongo na dogo? Japo EATV najua walizingua ila hata yeye kaonekana ana kaji unafik flan hivi