hamnioni tena chit chat!

Bishanga abeeeeee sijasikia, hebu rudia tena, umesema!?
 
Last edited by a moderator:
buriani...
naona umevuruga humu sasa unatafta VISU vya kwenye siasa sio?
ban inakunyemelea....sio bure.

Ka check post zangu kali JLS, tayari nsharusha hamsini na zote zimepigwa ma 'like',chit chat kitu gani bana?
 
Hivi bishanga, umeshapona ule ugonjwa?

Konnie ujue nna hasira,umeona kitu aliyonitenda zinduna? Hivi namwendea kwa fundi makorora on way back napitia kwa bi manyau kwa ali maua.
 
Shem uko baa gani saizi Bishanga weye???
maana hii thread siamini kama ni yako
au kuna mtu kaiba password yako
 
Tema mate nimchape, kafanya nini?

Konnie ujue nna hasira,umeona kitu aliyonitenda zinduna? Hivi namwendea kwa fundi makorora on way back napitia kwa bi manyau kwa ali maua.
 
Hivi bishanga, umeshapona ule ugonjwa?
Afu unajua Konnie mi nnamheshimu sana huyu Mzee alietangaza kuhama, naomba huu ujumbe upitie kwako umfikishie kuna Bidada kanituma tumwambie Bishanga kua juzi alipolala nae alipoondoka Mkubwa alisahau Kabati yake, Bidada anasema kabla hajahama afate Kabati yake.
 
Nyumbani ni nyumbani bishanga,chit chat imekufikisha hapo,utarudi tu,bora usiage,au ndo utakuja kwa ID tofauti? hutaweza bana
 
Hilo kabati la mpingo au mpodo?

Bishanga amelivaa hilo kabati la kike lol
asije kuwa kaiba na shanga za BADILI TABIA

 
Last edited by a moderator:
yaani unakubali Zinduna ajione mshindi?
haaaaa......
unanishangaza...
hebu bakia huku huku...
ila ukienda kwa babu mwambie ahamishe masikio ya Zinduna yahamie kichogoni na sehemu ya masikio aweke makalio..




 
Last edited by a moderator:
Du, kule hapataki papara,ukijifanya mjuaji unapewa vifungu vya sheria hadi unashangaa umeingia choo cha watoto au
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…