Jamsuldash
Member
- Jul 14, 2011
- 69
- 24
huyu atakuwa yule wa sumbawanga aliyebebwa na mwewe. . . Hapo kaachiwa tayari
Teh teh teh,mimi ni msukuma wa bariadi siwezi kushindwa kuona anachoona mfipa wa sumbawanga!huwezi kumuona hapo,sisi wa sumbawanga tuna muona!
Safi sana mkuu,umemaliza utata!!