Hamnichinji ng'o..! Kuleni mchicha

Rosweeter

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
1,171
4,432

Ng'ombe kagoma kuchinjwa kwa ajili ya harusi leo hapa MPUI Sumbawanga na kuamua kupanda juu ya paa la nyumba ya wazazi wa Bwana harusi,usiulize kapandeje kule juu, hapa ni S'wanga bwana!
 
Mpendwa Rosweeter mpost/mu-attach vizuri haonekani ati.
 
Aise huyo akichinjwa sili nyama yake!!! Ng'ombe mtu huyo!! Juu ya bati, walahi!1
 
Ng'ombe kagoma kuchinjwa kwa ajili ya harusi leo hapa MPUI Sumbawanga na kuamua kupanda juu ya paa la nyumba ya wazazi wa Bwana harusi,usiulize kapandeje kule juu, hapa ni S'wanga bwana!

Haki ya mama yangu mzazi nimecheka sana,yani mpaka sasa machozi yananitoka.
 
Hahahaha kweli yawezekana ni Mpui maana ile miti naiona kama vile kweli ni Mpui au Kaengesa. Chezeya sisi wewe uone cha moto
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…