Nyambiza jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2018
- 1,033
- 1,859
Acha kabisa mkewangu kawa mgomvi sana ana chuki sana na mimi Mimba acha kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kabisa mkewangu kawa mgomvi sana ana chuki sana na mimi Mimba acha kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitakiwa umshukuru Mr kwanza, kazi aliyoifanya unaiona ya mchezo !!?.Hata itokee nini bado nitaendelea kumuheshimu tumepitia mengi sana pia kwa hali hii tu namshukuru Mungu na ye akifatiwa
Chunguza utaonaKuna ukwel hapa mjomba ama
Amen dear[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Mungu akujaalie na wewe ubebe mkiwa wote[emoji7]
Ntalala baada ya mama k kulalamandunda,
Hahahahaha unafanana na baba k wangu tatizo yeye ni mlalaji sana sijui Hiyo kazi ya kuamka usiku kunipepea kama ataweza ila ya kuongea anaiweza tunaongea video call hadi napata usingizi
Yah mpaka minne ndo utarudi normalNakutamania[emoji30][emoji30] hongera mwaya mimi safari ndio kwanza mbichi basi hapa viugonjwa vya hapa na pale kila siku, naambiwa mpaka ikomae miezi minne huko ndio nitakua sawa
Kiongozi samahan kwa usumbuf naomba niunge tela nyuma yako kusubir kale kajoto amaizing[emoji23][emoji23]Hongera mama kijacho,,, kitumbua kikianza kuvimbavimba unishtue maana napenda vitumbua vya wamama wajawazt
Karibu sana ila chunga usije kuniovateki!Kiongozi samahan kwa usumbuf naomba niunge tela nyuma yako kusubir kale kajoto amaizing[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimba haijawahi kuwa kawaidaMimba ya kwanza hiyo ndio maana. Zingine itakuwa kawaida tu. Halafu wanawake wa siku hizi tunawadekeza mno.😀
harder king,
Hata itokee nini bado nitaendelea kumuheshimu tumepitia mengi sana pia kwa hali hii tu namshukuru Mungu na ye akifatiwa
Pisi kali ,unaendeleaje?
April hiyoo imeshapita--vimetulia?