Jmn kulea mimba hapana, usiku nikiamka kukojoa mwili unauma utafikir ulikuwa unapigwa, njoo kiuno au mgongo mchana yesu ndo anayejua. Miguu kuvimba Hapo bado ukisikia stor za leba.. Mungu nisaidie April sio mbali
Sent using Jamii Forums mobile app

hongera mwaya mimi safari ndio kwanza mbichi basi hapa viugonjwa vya hapa na pale kila siku, naambiwa mpaka ikomae miezi minne huko ndio nitakua sawaNdio maana nataka kubeba mimba pindi nakaa na baba wa mimba ili anipe sapoti..... Hongera mwaya, Mungu awe nawe katika kipindi chote
Sent using Jamii Forums mobile app

Kule ndo baba lao...ohooo..MUNGU awasaidie wanawake wooteee wapate watoto ili wajue heshima ya kuitwa Mumy....Bado mziki wa leba
Kule ndo baba lao...ohooo..MUNGU awasaidie wanawake wooteee wapate watoto ili wajue heshima ya kuitwa Mumy....

Yani nachoomba tutoke salama tu wote ila uoga wa kwenda huko sina kabisa Au kwavile sijui bado mudaHuwezi kuwa muoga.hata me nlikuwa sio muoga ,Amiin in sha allahYani nachoomba tutoke salama tu wote ila uoga wa kwenda huko sina kabisa Au kwavile sijui bado muda
Kuna ukwel hapa mjomba amaHongera mama kijacho, kitumbua kikianza kuvimbavimba unishtue maana napenda vitumbua vya wamama wajawazt
Acha tu havisimulikiKule ndo baba lao...ohooo..MUNGU awasaidie wanawake wooteee wapate watoto ili wajue heshima ya kuitwa Mumy....
Mimba ya kwanza ndiyo inavyokuwa kwa kila mtu huogopi.Ajabu sasa hata siogopiSijui kwanini naona kama nitaenda kupuu tu... Mungu anisaidie
![]()
Ni Bora umefanya hivyo amani yako ni muhimuThanks so much dear️
najitahidi sana nisiwe nahuzuni nikiona picha za kutisha naogopa now nimefuta ig kwanza maana unaingia unakutana na vitu hata hukuvitarajia