Hamna kitu kirahisi, Mimba sio mchezo

Hamna kitu kirahisi, Mimba sio mchezo

asante mwaya

me nashukuru sasa hivi mchana halali usiku kinalala na akilia sana ujue nimikojo aunjaa

umeona eh mtoto anauma mtu ajeampige tu bure bure wakatniliteseka sikuya kumleta dunian lazima uumie

hata hivo haishauriw unapokua na hali hio kujinyewa midawa tu bila ushaur wa daktar usiache kuhudhuria clinic

Shukrani sana️ msalimie kabby girl hapo

Clinic naanza march
 
Okay, hata huku ukiweza acha.

Unless ni issue ya kuomba ushauri kwa tatizo fulani, usiache kuhudhuria clinic kwa wakati.

Huku si nimepost kujua changamoto nayopitia maana hali ni tofauti na nilivyokua mwanzo Kwahiyo kusikia experience tofauti naona sio vibaya ila sijapost kwa ubaya

Sawa nitahudhuria
 
Huku si nimepost kujua changamoto nayopitia maana hali ni tofauti na nilivyokua mwanzo Kwahiyo kusikia experience tofauti naona sio vibaya ila sijapost kwa ubaya

Sawa nitahudhuria
Mimi pia naunga mkono hoja ya shemeji yangu Don, binadamu tunatofautiana sana roho zetu hata kama hatufahamiani. Nashauri kama una shida yoyote kiafya mwone dakitari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi pia naunga mkono hoja ya shemeji yangu Don, binadamu tunatofautiana sana roho zetu hata kama hatufahamiani. Nashauri kama una shida yoyote kiafya mwone dakitari

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni kweli lakini sio kila kitu ni vya kumuona daktari kuna vingine vinakua ni hali ya kawaida ila kwa vile ni mara ya kwanza mtu unakua hujui ndio maaana tunasikiliza na watu wengine waliotutangulia ukisema kila kitu uende hosp si utakua unaenda kila siku jamani
 
Jaman mimi wamama wajawazito huwa nawapenda kutoka moyoni sijawahi kuwachukia tatizo mabinti wa sikuhizi hawataki mimba et wanataka uroda.

Huwa nataman nikodishe mama mjamzito mmoja niishi nae maana lile tumbo na fujo zake mara kichefuchefu mara ndimu embe ,mkaa ,udongo ,chips ,viaz vitamu, magimbi ,maboga ,mayai au kama hivo usiku halali nikeshe nae ajiskie joto nimpepee yani sitamanigi miez tisa ifike fujo hizo ndio huwa nazipenda.

Wewe mwanaume unaekataa mimba sio baharia wa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera mamakijacho,pamoja na yote hayo ila na kudeka pia kunachangia na unajua furani yupo atatimiza unachokihitaji,mbona wadada wa kazi hawana hizo mambo zenu

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahahaha kudeka inakua sio sisi ni watoto hao alafu watoto wanatofautiana wabekitatu anajua kabisa mama yupo kwenye hali gani ndio maana anatulia
 
Back
Top Bottom