Pisi kali
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 1,235
- 2,545
Habarini wanaJF
Aisee kweli hamna kitu kirahisi hapa duniani, almost 2weeks ago nilikuwa naumwa siwezi kula yaani nakuwa na hamu na kitu then nikila kidogo tu najisikia vibaya +kichefuchefu, joto sasa hadi kizunguzungu naweza kuoga hata mara nane, na usiku nikishtuka ndio silali tena.
Namshukuru Mungu kuanzia juzi hali imebadilika ila sasa natamani vitu vizuri tu, maji nayaona mabaya hadi niyakamulie ndimu ndio napata taste hivi, kama hapa sasa hivi natamani burger.
Tatizo ambalo bado niko nalo ni usingizi, Yaani usiku mimi sina usingizi kabisa nitaangalia movie wee nitaperuzi mitandaoni hadi saa10/11 alfajiri ndio kausingizi kanakuja na saa1 asubuhi nakuwa macho.
Pia vijambo, yaani tumbo nahisi gesi muda wote na vijambo vinanuka, kila siku lazima niende haja kubwa sio chini ya mara 3.
Kingine nikiwa na stress tumbo linaniuma vibaya mno hasa nikiwaza vitu vibaya.
Kwa hali hii tuwaheshimu wa mama wote duniani jamani, najiliuza wale wenye watoto 5/6 ilikuaje? Maana ambao wametangulia uzazi wanasema mambo bado.
Wanaosemaga mimba si kazi, kazi kulea kumbe waongo vyote naona ni kazi
Pamoja na mapungufu yote MAMA YANGU NAKUPENDA SANA.

♀
kwa shida kama hizi.,
wengine watoto hua walizi usiku tu mchana analala kama wa jirani yangu hapa