KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,521
Preta,ujue Mungu anakuona,uliniambia kutoka Coyote(Coyoriiiii) ninyooke juu mpaka msikitini nyumba ya pili baada ya ghorofa,nikaja nikagonga,nikaulizia Preta holaaaaa,nikajieleza mpaka nikawaonesha picha yako wapiiiiii,akaja Muarumeru mmoja anauza mirungi akaniambia hii ni Arusha,usijaribu tena kuwaamini videnish vya Arusha,nasema hivi;si bora ungeniambia ni utani kuliko hivyo ulivyofanya mrembo?,kwani najua mambo mengi humu ni fake,ila sio hivyo ulivyofanya,anyway nakusamehe.Na hakuna kitu kinaboa kama mwanaume mlalamishi.........si usubiri.......je kama unataka kufanyiwa surprise..........