Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,875
Umejuaje kama ni mwanaume?
Lakini kweli........anaweza kuwa ni wa kiume tu.............
Umejuaje kama ni mwanaume?
sio kila mtu anaelewa na ukiona hupewi wewe ujue kuna mwenzako anapewa
tena anapewa sehemu ya kile alichotoa yeye, inaumaje!!
Mwanaume mlalamikaji simpendi namuogopa kama ebola
saaana mpaka boxer namnunulia.... kwani shi ngapi!!!!!!!!
nimeamini kwenye miti hakuna wajenzi poleee
Unapomfanyia mtu jambo jema usitarajie malipo otherwise unabatilisha wema wako
it depend na mtu wako wengine tunasimamia shoo na tunapenda kutoa vizawadi ili tupokee mara kumi yake MIZAWADI.
bora kutoa kuliko kupenda kupokea
Kijana unataka kuhongwa? Tunahangaika kutafuta Pesa kwa ajili ya wanawake... Maana mwanamke ndo mama wa nyumba. Acha kulalamika
Hahahaaa naweza kuwa wife material lakini kwako ukaona material hayakufai teh teh si unajua inategemea ntu na ntu?
Alafu bado wanalilia kuolewa... kama zawadi ya buku tu unashindwa kutafuta humo kwenye ndoa si utaua watoto njaa!!!
Hapo piga usepe tu huyo sio mke, vitu vingine haviitaji degree kuvifanya
Mmmmh suprise gani ban.. mtu unasubiria suprise kama unamsubiria yesu... bora kuongea tu
Yaan wewe ukiendekeza wanawake unaweza usijenge kamwe... shauri yako
zawadi ni zawadi na pia ni kumthamini umpendae hata kama ni pipi tu,ila siyo kupeana maua kama watoto.Yaani utakuta unampenda mdada na unamfanyia kila kitu ikiwemo kumtoa out, kumpelekea vijazawadi, hela za matumizi n.k lakini yeye hana hata mpango huo.
Yaani hata kukupa kizawadi cha pipi hamna.
Yeye ameganda tu anasubiri umfanyie kila kitu,kisa eti we ndo mwanaume.
Badilikeni wadada sio mpate raha nyie tu siku moja moja mnatutoa out na sie kwa kutumia hela zenu, mnatuletea vizawadi vya uongo na kweli na sisi turidhike kuwa tunapendwa na tunajaliwa.
Sio msubiri kufanyiwa mambo mazuri wakati nyie kuyafanya hamtaki.