Robin Van Mysterio
Senior Member
- Jul 24, 2014
- 102
- 15
Yaani utakuta unampenda mdada na unamfanyia kila kitu ikiwemo kumtoa out, kumpelekea vijazawadi, hela za matumizi n.k lakini yeye hana hata mpango huo.
Yaani hata kukupa kizawadi cha pipi hamna.
Yeye ameganda tu anasubiri umfanyie kila kitu,kisa eti we ndo mwanaume.
Badilikeni wadada sio mpate raha nyie tu siku moja moja mnatutoa out na sie kwa kutumia hela zenu, mnatuletea vizawadi vya uongo na kweli na sisi turidhike kuwa tunapendwa na tunajaliwa.
Sio msubiri kufanyiwa mambo mazuri wakati nyie kuyafanya hamtaki.