[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kasie makhaba! [emoji8][emoji8][emoji8][emoji85] [emoji85] [emoji85]Oooh yeaah. ...
Kwa mualiko huu nauprint ili iwe kibali cha kuingia kwenye himaya ya kando ya mshana jr huko Kibaha. Hapo ntafika, bado kujua siku na saa tuu, ila isiwe hapa upenuni maana unaweza shangaa siku hiyo magari ya naishia kibamba au mbezi mwisho wa kibaha hakuna kuingia wala kutoka.... hehehehehee
Haya nikutakie jioni njema yenye afya na ladha tele na njozi njema pia.
Kasie mahaba.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kasie makhaba! [emoji8][emoji8][emoji8][emoji85] [emoji85] [emoji85]
Jr[emoji769]
Hahahaa loh Kasie poa poaHehehehehehe naona umefurahi na bashasha za mabusu motomoto hehehehehehee
Huyo ndo Kasie, basi mualiko wako utakuwa umekamilika kwa kupata siku na saa ya kuzuru himaya ya kibaha.
Uninong'oneze ili pia siku hiyo wakatokea wakina Kasie 100 wakaharibu mtoko wetu.
Nikutakie uwajibikaji mwema na siku njema.
Kasie mahaba.
Wacha umandazii hiyo ni vest/kawoshiii
Shati alilovaa kabla hajaondoka bungeni ni la bluu ,alilopigwa nalo risasi jeupe
Hii movie imekosewa kidogo tu lakini wangerekebisha kidogo Hollywood ingeingia
Stering mpenda kiki hormorapa
Baada ya lowassa kuingia chadema sects ya maigizo imezidi kushika chat
Sent using Jamii Forums mobile app
ndivyo, kwenda nao tu....tangu juzi naona kila uchochoro nikiingia nakutana nazo nikataka nijifunzie kuandika uzi ila akili yangu fupi ikagoma kabisa kwa jambo hilo refu! halafu wanajuhudi za kunzisha mada chokozi kuzidi hata wrnyeji
kimekuleta nini huku mkuu!Nimeambiwa nisichangie vi2 vyenyr cvjui......ni uchochez na ctak kupmwa mkojo mie.
Sent using Jamii Forums mobile app