hatujambo kamanda....whatsup kwen desktop
pole sana mdogo wangu....mwenzio nimekesha hata sina hamu, yani leo ntazima simu mapeeema nalala usiku mzima maana now niko town
hahhaaaa muwe mnapita kunisalimia jamani na huko, uwa namuona Boflo na mama watoto wangu CL charminglady anapita kunisalimia
eeeh..mabwaku..shikamoo ni kunyimana kitu tena..?khaaa unanipa shkamoo ili uninyime nini
i miss you darling charminglady