Kumbe wew ni ME. ...aah
Ngoja bibi faiza aje akuchape viboko !! Izo Shule mlienda kusomea nini ..hapo palikuwa na minus grammatical erroe nawewe kwa ujuwaji umechemka vile vile usahihi wake ni futures
Kwa hio mi sistahili like uongo???Numbisa huyu anataka like kweli anastahili ?
Asante kwanzia leo namimi ni mkuu mbona raa
Mistakes hufanyika mwanzoni tu asante lakin
Njoo nikupakate🙂Wana jukwaa hamjambo ?
Jaman mimi mgen hum ndani natumaini mtanipa taratibu za hum jukwaani
nini napaswa kukisema na nini sipaswi kukisema
Asanteni wote natumai niko kwenye mikono salama