Hamissa Mobetto ametua Jana akitokea Dubai, Diamond yuko wapi kwa sasa?

Sio kwa milly pekee wapo wambea wengine nimesoma huko

Ila mond kumlipia hamisa ndege kwenda na kurudi bila kusain dili lolote ngumu sana. Kama wana mahusiano hamisa atateseka sana,zari anavumilia mengi.
Pole sana zarina
 
Ila mi najiuliza wanaume nani kawaloga?

Kwa hili namtetea Zari asee, wanawake walimnanga Domo kuwa hazai, hana kizazi, kumbe wanatoa mimba zake....maskini Zari kaamua kumfichia aibu yake na kumzalia halafu badae unamfanyia mtu hivi?

Zari atakuwa anaumia vibaya mnoo
 
Na sifa za mitandaon kuitwa kiboko ya fulan atamuachia nani. Wanawake sie akili zetu uwiii sijui nani alitulegezea nati za ubongo
Ushawahi kupenda?!!achaaa sio mitandaoni ht uswahilini!mwanamke anafanya chochote

Both Zari and hamisa are madly inluv with the guy the problem mmoja anajulikana mwingine amekubali kama mbwai iwe mbwai

Hapo mwanaume ndo mwenye final say!
 
Moyo wa mtu kichaka,wakati mioyo yetu inasukuma damu pekee,ya wengine inasukuma hadi chapati

nnachompendea zari ni ustrong hata kama anaigiza ila yupo imara maana wengine tukitikiswa kidogo tu kama sio kuchafua watsup basi ni kununa siku nzima hata kwa ambao hawapo kwenye mvurugo huo

Hamisa anapitia alipopita wema,penny na wengineo maana dai kwa ushauri wa akina saalm wanaangalia penye faida na kiki na sio penzi la kugandana na kuchunana. Sio kosa lake bali akili zake zinamtuma hivyo ipo siku atapata anachokitafuta hata kama ni mapacha

Ayaaa acha hizo,age mate kitu gani hata age mate wanasaliti tu cha msingi ni kujielewa na kuelewa hali halisi ya mahusiano aliyopo. Huwez jua alimvumilia ivan kwa kipind gan mpaka akaamua kujiondokea
Walikua pamoja acha picha iliyovuja kuna clip amesnap misa dai anaongea anamuita sallaam sk daah

Niwe mkweli Zari mwenyewe ndo anataka yote haya kama aliweza kumuacha Ivan aliyeishi nae for 15yrs anakubali vipi kudhalilishwa na hiki vitoto(Misa na daily)au ndo hana pa kuegamia

Diamond anakosea sana ht km kick as he said kua lile soo la kuzaa na mobeto limempandisha ila kama hamtaki amuache Dada wa watu

Hamisa nae anakosea au ndo analipiza kama yeye alivyoibiwaga Majay na Lulu?
Mi Leo sijapenda maana I know how it feels when somebody's akikuchit tena hadharani

Da zari tafuta age mate!!
 
Ila mi najiuliza wanaume nani kawaloga?

Kwa hili namtetea Zari asee, wanawake walimnanga Domo kuwa hazai, hana kizazi, kumbe wanatoa mimba zake....maskini Zari kaamua kumfichia aibu yake na kumzalia halafu badae unamfanyia mtu hivi?

Zari atakuwa anaumia vibaya mnoo
Anaumia mnoo yuko kwenye kipindi kigumu ila wanaume ni malaghai hujui mda gani anakupenda mda gani hakupendi
Saaaaaddd!

Zari ana moyooo
 
Dai anauwezo wa kumcontrol hamisa kwa asilimia 100% na sio zari. Kama angeweza kumwendesha zari atakavyo zari angehamia bongo mazima

Mwanamke anayependa kupituliza anatabia za wema kwa jumbe maana alifikia hatua ya kumtukana mama yake,kuvunja kioo cha gari la kanumba etc

Zari naamin hajafikia hatua hizo ana full maamuzi ya wanae wote,nyumba ya sauz anaiendesha atakavyo. La sivyo akina esma wangeshajazana kwa madiba zamaan
Ushawahi kupenda?!!achaaa sio mitandaoni ht uswahilini!mwanamke anafanya chochote

Both Zari and hamisa are madly inluv with the guy the problem mmoja anajulikana mwingine amekubali kama mbwai iwe mbwai

Hapo mwanaume ndo mwenye final say!
 
Moyo wa mtu kichaka,wakati mioyo yetu inasukuma damu pekee,ya wengine inasukuma hadi chapati

nnachompendea zari ni ustrong hata kama anaigiza ila yupo imara maana wengine tukitikiswa kidogo tu kama sio kuchafua watsup basi ni kununa siku nzima hata kwa ambao hawapo kwenye mvurugo huo

Hamisa anapitia alipopita wema,penny na wengineo maana dai kwa ushauri wa akina saalm wanaangalia penye faida na kiki na sio penzi la kugandana na kuchunana. Sio kosa lake bali akili zake zinamtuma hivyo ipo siku atapata anachokitafuta hata kama ni mapacha

Ayaaa acha hizo,age mate kitu gani hata age mate wanasaliti tu cha msingi ni kujielewa na kuelewa hali halisi ya mahusiano aliyopo. Huwez jua alimvumilia ivan kwa kipind gan mpaka akaamua kujiondokea
Nimekuelewa sana numbisa

Tujipe moyo ipo siku atatulia kaka dai

Ila maumivu ya moyooooo!!acheni tu!u strong wa kufurahisha social media sinaga mie!

Na kwa stail ya kuangalia faida ndizo zinazomponza zari maana wanamla kichogo mi nisingeweza aiseee
 
Dai anauwezo wa kumcontrol hamisa kwa asilimia 100% na sio zari. Kama angeweza kumwendesha zari atakavyo zari angehamia bongo mazima

Mwanamke anayependa kupituliza anatabia za wema kwa jumbe maana alifikia hatua ya kumtukana mama yake,kuvunja kioo cha gari la kanumba etc

Zari naamin hajafikia hatua hizo ana full maamuzi ya wanae wote,nyumba ya sauz anaiendesha atakavyo. La sivyo akina esma wangeshajazana kwa madiba zamaan
Uzuri umeshasema moyo wa mtu kichaka basii

Kwa haya niyaonayo mimi...
Zari na hamisa wote sawa!
 
Huyu huyu dai alikufa na kuoza kwa wema nini kikatokea!?

Zari namfananisha na mama zetu wamevumilia mengi sana ndoani na wala hawajateteleka.

Dai akimuacha zari au zari akimuacha dai atakayeporomoka ni dai. Na hamisa atakosa soko,maana yeye anawaza ndoa na ndoa kwa mtu kama dai yatatokea ya wastara na mbunge au ya nuhu na mkewe
Diamond hamheshimu Zari kabisa, mark my word! Yaani ni ile " akufukuzae hakwambii toka" yaan Domo kamchoka tukinao ni ile tu basi

Mi mtu wa karibu kabisa na Domo kaniambia uhusiano wa tununu na domo uko vile vile na Domo kafa kaoza kwa chuchunge
 
Ukiwa maarufu utateseka sana na skendo wapo wataongea mabaya wengine mazur but anyway maisha ya mtu ni ya mtu hakuna wakumpangia. Ndo mana binadamu tunatofautiana.....roho zetu hizi
 
Anaumia mnoo yuko kwenye kipindi kigumu ila wanaume ni malaghai hujui mda gani anakupenda mda gani hakupendi
Saaaaaddd!

Zari ana moyooo
Haki hivi viumbe havieleweki asee..

Mwanaume ukimuonesha unampenda sana huwa anageuka, anajua huna pa kwenda

Refer na Wema kumfanyia hadi birthday kwa gharama zake!??

Yaani hapo Wema kategesha kwa Domo amrudie khaaa!
 
Dai anauwezo wa kumcontrol hamisa kwa asilimia 100% na sio zari. Kama angeweza kumwendesha zari atakavyo zari angehamia bongo mazima

Mwanamke anayependa kupituliza anatabia za wema kwa jumbe maana alifikia hatua ya kumtukana mama yake,kuvunja kioo cha gari la kanumba etc

Zari naamin hajafikia hatua hizo ana full maamuzi ya wanae wote,nyumba ya sauz anaiendesha atakavyo. La sivyo akina esma wangeshajazana kwa madiba zamaan
Esma na uchizi wake kwa madiba kumemshinda!

Hivi hata kwenda kusalimia sijawahi ona clip yake akitua SA
 
Haki hivi viumbe havieleweki asee..

Mwanaume ukimuonesha unampenda sana huwa anageuka, anajua huna pa kwenda

Refer na Wema kumfanyia hadi birthday kwa gharama zake!??

Yaani hapo Wema kategesha kwa Domo amrudie khaaa!
Wema atulize kipago yule kwa sasa analiwa msingi kulipiwa hoteli tuu!no more luv!

Sijui mondi anampenda nani kati ya hawa daaah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom