and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,498
- 40,328
Miguberi dizaini thamani imeshuka!
HAWA WOTE WALIKUWAGA MADEMU ZANGU ILA HAMISA NI MTAMU SANA AISEE ANAJUA KUPENDA NI NINI LAKINI KALULU KANA TAMAA MBELE HAKAJUI MAPENZI ZAIDI YA UJIKE SHUPAHamisa hana sura nzuri....mengine poa
Lulu ana sura nzuri
Mweh.....Kama mnawapima kwa kukaa uchi wote sawa
Kama kwa yupi mwamamke....wote zero
Kama kwa uzuri pia zero...uzuri wa mwanamke ni kujistiri...kuanika body yako huma uzuri wala thamani ni sawa na changudoa..wale wanauza kujipamga hawa wanauza kwa picha
We jamaa umenifurahisha ningekua karibu ningekutandika Guiness barrrrrdi. Hamisa mtoto mzuri sana huyu.Ndo nn kufafanisha Bedford (B) vs Audi (A)?
KweliLulu hamfikii Hamisa kwa chochote.....labda makeup....lol.....
UmenenaHamisa hana sura nzuri....mengine poa
Lulu ana sura nzuri
Ha haaaTatizo la hamisa reception tu shape kwa mchina zipo lulu reception yuko vzuri sema mfupi
Hii JF au facebukuuuu?
Lulu ni cute aisee tena bila makeup nilishawahi kuwaona wote liveLulu hamfikii Hamisa kwa chochote.....labda makeup....lol.....