Lulu hamfikii Hamisa kwa chochote.....labda makeup....lol.....Tatizo la hamisa reception tu shape kwa mchina zipo lulu reception yuko vzuri sema mfupi
Hamisa hana sura nzuri....mengine poaLulu hamfikii Hamisa kwa chochote.....labda makeup....lol.....
Siku hizi wanavaa vibambino na vya hips unavaa na kutoa havina madhara sana labda kwa mpenzio kukuona fekero kuliko reception mbaya. Na michina ni hatare tofauti na kina Kim hufanya implants kwa waliobobeaTatizo shape za Kichina zina compulsory expiry date wakati expiry date za shape original zipo ndani ya uwezo wa mwenye shape husika-- akisema no expiry date atazeeka akiwa bado m-cute!
Weee halafu wenzio tuplekwe wapi?!Huyo Hamisa kudadadadadadeki, nikipata nafasi ya kumtemea sumu zangu walahi namuonga Tanzania yote.
Warumi umetishaaaa!!
hahahaWote hao hawamfikii Warumi!!!
Ha ha ha ha haaaaaaa noma sana.HALAFU UTAKUTA KUNA MWANAUME KAPIGA WOTE HAWA....
DUNIANI HATUFANANI