Yaani natamanigi ziorodheshwe hapa fields zenye uwezo wa watu kujiajiri naamini zifafika hata 100....! Ni mambo mengi ya kufanya sema ndo watu wanafikiria ajira tu
Tabasamu anamili vituo vya mafuta ambavyo kuajiriwa Hadi uwe muislam.
Hungumalwa TABASAM PETROL STATIONUlienda kuomba kazi kituo gani?
Kama kuna ukweli kwenye hili swala leta ushahidi tumfutie leseni Mara moja hatuwezi kuwalea Hawa watu wenye udini.Ulienda kuomba kazi kituo gani?
Kama sio muisilam hauajiriwi TABASAM PETROL STATIONKama kuna ukweli kwenye hili swala leta ushahidi tumfutie leseni Mara moja hatuwezi kuwalea Hawa watu wenye udini.
Sijawahi mfatilia aisee..noma sana before alikua ana mishe zipiHalafu kwa taarifa hamisi kwenye ubunge hajafuata pesa ni vile anapenda siasa lakini jamaa mkwanja alionao hao akina shigongo na musukuma wakasome jamaa hana njaa za kifala
Tabasamu Kanena kweli hadi Rais kampigia makofi.
ni kweli usio pingika kuwa sio rahisi vijana wote wakaajiriwa na serikali, ajira serikalini hazitoshi....huo ndio ukweli, badala yake vinajana yunapaswa tujiajiri wenyewe ktk sekta mbalimbali ili tujikwamue kimaisha.
kama alivyo sema Rais kuwepo na mikopo ya riba nafuu n.k
Labda nisehemu ya masharti ya hela zake. Vigezo na masharti kuzingatiwaKama sio muisilam hauajiriwi TABASAM PETROL STATION
Kwanini asiwaachie maskini wagombee wawe wabunge ili kupunguza tatizo la ajira yeye afanye biashara zake zinazo MPA mapesa kede kede? Kwani kupenda siasa lazima uwe kiongozi?Halafu kwa taarifa hamisi kwenye ubunge hajafuata pesa ni vile anapenda siasa lakini jamaa mkwanja alionao hao akina shigongo na musukuma wakasome jamaa hana njaa za kifala
Weye kwa nini unakuwa mkorofi?Unataka kubishana na ukweli halisi mkuu...na ww 2025 kagombee.kama unaona ni rahisi namna hiyo
Be wanamuonea mbunge wetu beWeye kwa nini unakuwa mkorofi?
Maisha hayana kanuni,hao alio waajiri ndio akaenda kuwapigia magoti kuwaomba kura.Humjui Tabasamu.
Huyo ni mojawapo ya Wabunge Wafanyabiashara ambao biashara zao zimeajiri Vijana wengi sana. Alichokisema ndio uhalisia. Serikalini hakuna ajira. Vijana wasio na akili walimzomea lkn haibadilishi ukweli.
Shida ya wasomi wetu huutazama ukweli kwa jinsi unavyojitokeza, badala ya kuutazama ukweli kwa jinsi ulivyo. Wengi tunasoma ili tuajiriwe..hatusomi kupata maarifa ya kujiajiri. Dunia ya sasa ajira za Serikali zinakwenda kubakia kwa watu wachache sana.. Wengi tutabakia kwenye sekta binafsi, huko ndiko kwenye ajira za ama kujiajiri, ama kuajiriwa kwa mikataba mifupi.
Serikali inapaswa iandae mazingira ya vijana kuandaliwa kujiajiri tangu wakiwa mashuleni..zile zama za kusoma ili ukawe karani wa mahakama zimepita.
Tabasamu anaweza asieleweke kwa watu wenye akili ndogo, lkn lililo la kweli amelisema.
Kaajiri waislam tena wa SuniHumjui Tabasamu.