Mkuu utakuwa na lako jambo wewe. Ama uliutaka ubunge Tabasamu akakishinda au utakuwa mwanamke uliyemtaka Tabasamu akakukataa.Wewe Tabasamu kwani hukusoma ukaelewa mbona uliomba ubunge?
Au hujajua kwamba hao unaowaeleza hayo ndio wamekuajiri.

Wewe pia hujakatazwa. Kwani imeandikwa wapi kwamba mgombea anapaswa kuwa Tabasamu tu??Yeye alipofuta ujinga mbona alienda kuwaomba wananchi kura. Angekaatu akachemsha mavitabu yake akanywa mchuzi
Halafu usikute huyu anayemlaumu Tabasamu kwa kuusema ukweli naye anajiita msomi.hivi huko vyuoni hua manaambiwa maisha ni serikalini tu?ulaitaka serikali iajiri vijana wote wanao maliza vyuoni?hakuna kitu kama hicho..jiongeze maisha sio serikalini.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama nimekuelewa kuna maneno ulitaka kuyasikia mkuu...bora amesema ukweli..someni kufuta ujinga...msitegemee ajira serikalini...tusipende kusikia maneno tunayopenda kusikia..tuyapokee hata na yale magumu
Yaani natamanigi ziorodheshwe hapa fields zenye uwezo wa watu kujiajiri naamini zifafika hata 100....! Ni mambo mengi ya kufanya sema ndo watu wanafikiria ajira tuMbunge kaongea ukweli ulio sahihi na hana kosa nchi ina watu karibu milioni 60 waajiriwa rasmi wa serikali hawazidi milioni moja, wengine waliobaki wako wameajiriwa sekta binafsi na wengine wamejiajiri, tubadilishe mtazamo, mbunge kaongea ukweli kabisa hasa ukizingatia uchumi wa nchi zetu hawana uwezo wa kuajiri watu wote ndio maana tunaambiwa tuchangamshe akili
Subiri kutukanwaUnataka kubishana na ukweli halisi mkuu...na ww 2025 kagombee.kama unaona ni rahisi namna hiyo
Nshazoea jf full of negativitySubiri kutukanwa
Amesema ukweli vijana kwenye hili Taifa wasome wafute ujinga then wajiajiri serikali haiwezi kuajiri graduates wote kutoka vyuo vikuu .Serikali inawajibu wa kutengeneza mazingira mazuri kwenye sekta binafsi ili tuweze kuzalisha ajira za kutosha.sio kila siku kulialia hapa kwa waziri wa TAMISEMI.Leo wakati Rais wa Tanzania akihitimisha ziara yake mkoani Mwanza, aliongea na kundi muhimu sana katika jamii yoyote ile (vijana)
Mh Rais aliwataka wabunge waliokuepo eneo hilo anhalau watoe salam. Mbunge wa Sengerema ndugu Tabasamu amewaambia vijana eti wasome waelewe ila serikalini hakuna ajira.
Wewe Tabasamu kwani hukusoma ukaelewa mbona uliomba ubunge?
Au hujajua kwamba hao unaowaeleza hayo ndio wamekuajiri. Au hutarudi tena kwao? Tabasamu umetonesha vidonda vya watu.
Muwe mnaandika kwanza halafu mkifika mbele za watu msome maana hamchelewi kutoa boko.
Tabasamu kwakua umesoma ukaelewa uchaguzi ujao kajikalie nyumbani kwako usiwasumbue vijana. Mbona Mh. Rais anatumia lugha ya upole, ustaarabu na inayoeleweka. Wewe kuonge atu dakika moja na robo umechafua hali ya hewa. Ama kweli mwenye shibe, hamjui mwenye njaa.
Hatahivyo, halmashauri ya Sengerema inakabiliwa na ufujaji wa fedha hivyo Mh Rais ameagiza ufanyike ukaguzi ili kubaini tatizo.
Kwa aina ya muwakilishi kama huyo hana jipya sana katika kuishauri halmashauri kupitia baraza la madiwani.
Halmashauri hayo mamikopo yako kibao..ni uvv tu wa kufatiliaMama Samia akumbushwe kuhusu mitaji ya vijana iliyofichwa kwenye mifuko ya kijamii.
Halmashauri hayo mamikopo yako kibao..ni uvv tu wa kufatilia
Sawa sawaNazungumzia Fao La Kujitoa.
Kuna vijana kibao waliopunguzwa kazi kipindi cha Magu na kipindi cha corona, NSSF zao wapewe wahangaike nazo.
kauli ya Tabasamu sio kauli ya serikali sababu inapngana na ilani ya chama.Halafu usikute huyu anayemlaumu Tabasamu kwa kuusema ukweli naye anajiita msomi.
Jina zuri la hawa wanaojiita wasomi linapaswa kuwa "waliopita ama kukaa madarasani"
Ukweli ulio mchunguLeo wakati Rais wa Tanzania akihitimisha ziara yake mkoani Mwanza, aliongea na kundi muhimu sana katika jamii yoyote ile (vijana)