Hamis Tabasamu, Mbunge wa Sengerema usichokoze hisia za watu

Amesema ukweli Ajira hamna...Wala Serikali Haina uwezo Kuajiri Watu wote Tusome kwa Maarifa Ili tupambane sokoni ikikosa maarifa mazuri Komaa upate kazi yako mwenyewe uiendeshe.
 
Yaani natamanigi ziorodheshwe hapa fields zenye uwezo wa watu kujiajiri naamini zifafika hata 100....! Ni mambo mengi ya kufanya sema ndo watu wanafikiria ajira tu

Halafu kwa taarifa hamisi kwenye ubunge hajafuata pesa ni vile anapenda siasa lakini jamaa mkwanja alionao hao akina shigongo na musukuma wakasome jamaa hana njaa za kifala
 
Mmeambiwa msome muelimike ili mkajiajiri maana bado afrika na tanzania kuna vigin opportunity kibao sema tuchangamshe akili zetu principle moja wapo kwenye maisha ni ukijenga tabia ya kulaumu watu wengine kwa mambo hako yanayokuhusu fahamu utashindwa battle mapema yaani ukose ajira lawama umpe mama samia inakuja kweli hiyo
 
Halafu kwa taarifa hamisi kwenye ubunge hajafuata pesa ni vile anapenda siasa lakini jamaa mkwanja alionao hao akina shigongo na musukuma wakasome jamaa hana njaa za kifala
Sijawahi mfatilia aisee..noma sana before alikua ana mishe zipi
 
Tabasamu Kanena kweli hadi Rais kampigia makofi.
ni kweli usio pingika kuwa sio rahisi vijana wote wakaajiriwa na serikali, ajira serikalini hazitoshi....huo ndio ukweli, badala yake vinajana yunapaswa tujiajiri wenyewe ktk sekta mbalimbali ili tujikwamue kimaisha.
kama alivyo sema Rais kuwepo na mikopo ya riba nafuu n.k

Kama sio muisilam hauajiriwi TABASAM PETROL STATION
Labda nisehemu ya masharti ya hela zake. Vigezo na masharti kuzingatiwa
 
Halafu kwa taarifa hamisi kwenye ubunge hajafuata pesa ni vile anapenda siasa lakini jamaa mkwanja alionao hao akina shigongo na musukuma wakasome jamaa hana njaa za kifala
Kwanini asiwaachie maskini wagombee wawe wabunge ili kupunguza tatizo la ajira yeye afanye biashara zake zinazo MPA mapesa kede kede? Kwani kupenda siasa lazima uwe kiongozi?
 
Humjui Tabasamu.
Huyo ni mojawapo ya Wabunge Wafanyabiashara ambao biashara zao zimeajiri Vijana wengi sana. Alichokisema ndio uhalisia. Serikalini hakuna ajira. Vijana wasio na akili walimzomea lkn haibadilishi ukweli.

Shida ya wasomi wetu huutazama ukweli kwa jinsi unavyojitokeza, badala ya kuutazama ukweli kwa jinsi ulivyo. Wengi tunasoma ili tuajiriwe..hatusomi kupata maarifa ya kujiajiri. Dunia ya sasa ajira za Serikali zinakwenda kubakia kwa watu wachache sana.. Wengi tutabakia kwenye sekta binafsi, huko ndiko kwenye ajira za ama kujiajiri, ama kuajiriwa kwa mikataba mifupi.
Serikali inapaswa iandae mazingira ya vijana kuandaliwa kujiajiri tangu wakiwa mashuleni..zile zama za kusoma ili ukawe karani wa mahakama zimepita.
Tabasamu anaweza asieleweke kwa watu wenye akili ndogo, lkn lililo la kweli amelisema.
 
Maisha hayana kanuni,hao alio waajiri ndio akaenda kuwapigia magoti kuwaomba kura.
 
Naomba watu waelewe kwamba wabunge pale wapo kazini na wamewekeza hela zao mpaka wakaingia pale.
Sasa hao matajiri wamefuata nini bungeni wakati wana miradi yao?
Hoja ya uwezo wa mtu kiuchumi isituzuiye kuendesha mjadala kama tunaona ipo haja
 
Humjui Tabasamu.
Huyo ni mojawapo ya Wabunge Wafanyabiashara ambao biashara zao zimeajiri Vijana wengi sana. Alichokisema ndio uhalisia. Serikalini hakuna ajira. Vijana wasio na akili walimzomea lkn haibadilishi ukweli.

Shida ya wasomi wetu huutazama ukweli kwa jinsi unavyojitokeza, badala ya kuutazama ukweli kwa jinsi ulivyo. Wengi tunasoma ili tuajiriwe..hatusomi kupata maarifa ya kujiajiri. Dunia ya sasa ajira za Serikali zinakwenda kubakia kwa watu wachache sana.. Wengi tutabakia kwenye sekta binafsi, huko ndiko kwenye ajira za ama kujiajiri, ama kuajiriwa kwa mikataba mifupi.
Serikali inapaswa iandae mazingira ya vijana kuandaliwa kujiajiri tangu wakiwa mashuleni..zile zama za kusoma ili ukawe karani wa mahakama zimepita.
Tabasamu anaweza asieleweke kwa watu wenye akili ndogo, lkn lililo la kweli amelisema.
Kaajiri waislam tena wa Suni
 
Back
Top Bottom