Hamis Kigwangalla: Nashauri Rais asisaini muswada

Leonard Robert

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
11,064
7,196
"Ningekuwa mshauri wa Raisi Jakaya Kikwete kuhusu muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba,ningemshauri asisaini sheria hiyo iliyopitishwa na Bunge mwezi uliopita"

"ushauri wangu unazingatia lengo moja kubwa:kutengeneza muafaka wa kitaifa, na kwa maana hiyo makundi yote ndani na nje ya Bunge ni muhimu kusikilizwa katika kufikia lengo.."

atumegemei raisi asiwasikilize wapinzani na wadau wengine..kuwasikiliza ndiyo uongozi.Nilazima awasikilize wote na atafute usawa kwenye mizania ya haki ili kuwe na muafaka wa kitaifa kwenye zoezi hili nyeti..

....."Raisi kikwete asisaini kwa faida ya kuondoa uwezekano wowote ule wa kutengeneza matabaka ya wabunge walio wengi ( majority) kutokufurahishwa na hatua hiyo.

Pili, kwa kuwa kulikuwa na wabunge wachache(minority)..na kwa kuwa katika demokrasia yoyote ile yenye afya nzuri maoni na sauti za wachache ni lazima visikilizwe kwa umakini zaidi ya wale walio wengi.."
 
.... "ni busara kurudi mezani na kusikilizana na kisha kuleta mapendekezo ya vipengele vinavyowakosesha usingizi na amani wapinzani.."
SOURCE:MAWIO
 
"Ningekuwa mshauri wa Raisi Jakaya Kikwete kuhusu muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba,ningemshauri asisaini sheria hiyo iliyopitishwa na Bunge mwezi uliopita"

"ushauri wangu unazingatia lengo moja kubwa:kutengeneza muafaka wa kitaifa, na kwa maana hiyo makundi yote ndani na nje ya Bunge ni muhimu kusikilizwa katika kufikia lengo.."

atumegemei raisi asiwasikilize wapinzani na wadau wengine..kuwasikiliza ndiyo uongozi.Nilazima awasikilize wote na atafute usawa kwenye mizania ya haki ili kuwe na muafaka wa kitaifa kwenye zoezi hili nyeti..

....."Raisi kikwete asisaini kwa faida ya kuondoa uwezekano wowote ule wa kutengeneza matabaka ya wabunge walio wengi ( majority) kutokufurahishwa na hatua hiyo.

Pili, kwa kuwa kulikuwa na wabunge wachache(minority)..na kwa kuwa katika demokrasia yoyote ile yenye afya nzuri maoni na sauti za wachache ni lazima visikilizwe kwa umakini zaidi ya wale walio wengi.."

Na kosa kubwa lingine ni ccm waliowengi bungeni hawakujadili mswaada wao walimjadili Tundu lisu na wapinzani na hii ikaruhusu mswaada upite na mapungufu mengi, na hii ndo inayomfanya Rais aone haja ya kuwasilikila wapinzani na wadau wengine,
 
Khaaaaa..huyo ndo Kigwangara alimporomoshea matusi Mbowe! Kama ametubu, God is always good. Dhambi yake imesamehewa.
 
"Ningekuwa mshauri wa Raisi Jakaya Kikwete kuhusu muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba,ningemshauri asisaini sheria hiyo iliyopitishwa na Bunge mwezi uliopita"

"ushauri wangu unazingatia lengo moja kubwa:kutengeneza muafaka wa kitaifa, na kwa maana hiyo makundi yote ndani na nje ya Bunge ni muhimu kusikilizwa katika kufikia lengo.."

atumegemei raisi asiwasikilize wapinzani na wadau wengine..kuwasikiliza ndiyo uongozi.Nilazima awasikilize wote na atafute usawa kwenye mizania ya haki ili kuwe na muafaka wa kitaifa kwenye zoezi hili nyeti..

....."Raisi kikwete asisaini kwa faida ya kuondoa uwezekano wowote ule wa kutengeneza matabaka ya wabunge walio wengi ( majority) kutokufurahishwa na hatua hiyo.

Pili, kwa kuwa kulikuwa na wabunge wachache(minority)..na kwa kuwa katika demokrasia yoyote ile yenye afya nzuri maoni na sauti za wachache ni lazima visikilizwe kwa umakini zaidi ya wale walio wengi.."

Wewe muda wa kuchangia mjengon ulitumia kumponda mbowe na tundu lisu zen ukaunga mkono mswada huo upite 100 leo unasema nn au ndo phd zetu za ckuizi au ni fake politics,nzega we need change goodbye no mercy this time rudi hospital
 
we ulipitisha sawa na kuusaini unamshauri afanye usichofanya wewe
Bungeni uliupitisha mpaka kwa kutukanwa wakwe leo umeshasahau
au ujinga wetu ndo chakula chao.
hv kingwa mzee unamtunza
je ile jumanne ulikuwa ujilipue kwa kuwa ulipata ushauri haijafika au
 
hukuwepo bungeni sku wanaupitisha??
naona huyu 'Daktari' kama maccm wengine atakuwa na matatizo.
Si huyu huyu aliyetumia zaidi ya robo saa kuwatukana Mh. Mbowe na Tundu Lissu Bungeni! ...kizuri kumbukumbu zitakuwa wazi ili kila mmoja ajue hii nchi inasimamiwa na watu wenye akili za namna gani. Aibu kubwa hii.
 
Back
Top Bottom