Nyumba zaidi ya 30 za Kitanzania ambazo waweza chagua kujenga kulingana na bajeti yako

Nyumba Nafuuu

JF-Expert Member
Nov 29, 2016
387
396
Zifuatazo ni Aina Kadhaa za Nyumba za kuishi Familia ambazo waweza chagua kujenga kulingana na bajeti yako. Zipo ktk uwanja mpana wa STAILI, KIASI CHA KIWANJA, KIASI CHA VIFAA...


zaidi ya nyumba 30 small.jpg


Kutazama Ramani Zake za Ndani
+255-657-685-268 WhatsApp

1 ==> vyumba 3, tofali 1700, bati 50
2 ==> vyumba 3, tofali 1800, bati 60
3 ==> vyumba 3, tofali 1900, bati 65
4 ==> vyumba 3, tofali 1400, bati 62
5 ==> vyumba 3, tofali 2278, bati 65
6 ==> vyumba 3, tofali 3000, bati 80
7 ==> vyumba 3, tofali 2380, bati 76
8 ==> vyumba 3, tofali 2333, bati 70
9 ==> vyumba 3, tofali 2776, bati 85
10 ==> vyumba 3, tofali 3118, bati 91
11 ==> vyumba 2, tofali 3666, bati 119
12 ==> vyumba 4, tofali 3324, bati 108
13 ==> vyumba 3, tofali 2522, bati 76
14 ==> vyumba 4, tofali 4213, bati 108
15 ==> vyumba 4, tofali 5118, bati 136
16 ==> vyumba 4, tofali 5013, bati 128
17 ==> vyumba 3, tofali 4236, bati 97
18 ==> vyumba 3, tofali 3883, bati 126
19 ==> vyumba 4, tofali 3769, bati 95
20 ==> vyumba 4, tofali 3033, bati 94
21 ==> vyumba 4, tofali 4139, bati 152
22 ==> vyumba 4, tofali 6668, bati 163
23 ==> vyumba 2, tofali 3623, bati 59
24 ==> vyumba 3, tofali 2914, bati 33
25 ==> vyumba 3, tofali 4006, bati 82
26 ==> vyumba 3, tofali 4177, bati 99
27 ==> vyumba 4, tofali 5584, bati 77
28 ==> vyumba 4, tofali 9188, bati 36

= Idadi hiyo ni ya vyumba vya kulala (jumla ya master na vyumba kawaida.
= Sebure, dining, jiko, choo ndani vipo kama kawaida
= mawasiliano yangu +255-657-685-268


Kwa anayehitaji kujua makisio ya gharama za ujenzi kwa nyumba specific uliyochagua

  • ninachaji ada ya Tshs. 50,000/= nyumba ya kawaida au 100,000/= kwa GHOROFA
  • ambapo nitakuandalia mchanganuo wake (tazama comment ya kwanza kwa mfano wa ripoti ya mchanganuo) na utapata ndani ya masaa 24



Makadirio hayo yana uhakika zaidi
  • tofali ni za block nchi 5 au 6
  • hiyo ni jumla ya tofali za MSINGI + KUTA
  • makadirio ya tofali assumption kiwanja chako kipo flat na ardhi nzuri
  • - kama kiwanja chako ni mteremko basi tofali idadi itaongezeka
  • bati ni za kawaida za urefu wa futi 10 (mita 3)


Kitaalamu na kwa soko la Tanzania kwa nyumba ya familia iliyojengwa vyema kila kitu mpaka finishing
---> nyumba ya gharama nafuu (tofali 1000-2500, bajeti 25 - 40M)
---> nyumba ya kawaida (tofali 3000 - 4500, bajeti 40 - 70M)
---> Nyumba bungalow (tofali 5000 - 7000, bajeti 80 - 130M)
---> Ghorofa gharama nafuu (bajeti 110 - 150M)
---> Ghorofa kawaida (bajeti 180 - 250M)
---> Ghorofa premium (bajeti 350M--->


Gharama Kwa nyumba ya kawaida kitaalamu [ijapokuwa zinaweza kutofautiana kutegemeana na eneo na staili]
  • 45% ya gharama ya ujenzi ni kujenga boma (msingi, kuta na bati), 55% hutumika kufanya finishing
  • Steji zinazokula gharama ya ujenzi ni (paa ~15%, Msingi 12%, Madirisha 12%, Milango 11%)
  • Ktk ujenzi wako steji ya kupiga paa inapaswa uwe makini [mbao zinakula gharama] pia inahitajika nguvu kwa mara moja tofauti na steji nyingine


***** Popote ulipo Dar es Salaam, Mikoani, Nje ya Nchi waweza pata huduma zetu
***** Tunafanya kazi kwa njia ya mtandao (website), waweza tumiwa kwa posta au basi


+++ Simu mawasiliano (+255-657-685-268)
+++ Ukipiga simu basi ndugu usiwe mchoyo wa malipo ili upate huduma nzuri maana tunafanya biashara
+++ NYUMBA NAFUUU - Tegeta Salasala, DSM-TZ (karibu ofisini ada Tsh. 25,000/=)
 
Nyumba za mbao mnajenga?
Hello.
Hatujengi Bali tunahusika na kuandaa ramani za nyumba za kuishi familia kwa afya, Uhuru na utulivu.

So
Twaweza kukupa huduma ya kukuandalia design yake.

Obvious kujenga itakubidi sana utumie engineer ili iwe na ubora na idumu pia.
- kuna maswala ya moto, kuoza... So inabidi yawe taken into considerations


Kwa ushauri
Jenga nyumba ya mbao kama umeipenda
Lkn
Sio option ya kuokoa gharama
 
hE
Ahsante kwa uzi mzuri...
Vipi kwa tulio mkoani, huku % kubwa tunatumia tofali za kuchoma. Inch 4. Mchanganua wake mnafanya?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hello,
kulingana na mahesabu
==> kwa tofali 1 la block lilosimama = 4.1 za interlocking
==> kwa tofali 1 la block lilosimama = 5.7 za kuchoma nene

Lakini kumbuka Dar tofali zinatumika kujengea msingi na kuta
 
Back
Top Bottom